Kwenye hili la viapo, nimeshangazwa sana na mjadala wa CHADEMA unaoendelea

Amewaita nyie wajinga usimpangie bwana.

Mngekuwa na akili mngekalili kuna upinzani wkt upinzani huo umeasisiwa na JK Nyerer ambaye ni CCM au CCM ilikuwa chadema,mtasema mnakili nyie?
Pole huelewi,Martin Luther alikuwa mkatoliki akaanzisha Lutheran,na shetani alikuwa malaika aliyeasi.hivyo usitegemee upinzani utoke sehemu nyingine zaidi ya ccm labda Kwa kizazi kijacho ambao wamekuta vyama vingi vipo
 
Wewe ni DC, interests zako tunazijua na wewe ni miongoni mwa wanafanya njama hizi.
-Lowassa,Sumaye,Mahanga,Ntagazwa wote walikua mawaziri, unafikiri hawalijui hilo?

Msitake kujitetea kuhalalisha haramu, vile viapo ni vya shughuli za muda tena zilizojaa interests za kisiasa huwezi kufananisha na hivyo viapo uliovitaja. Inaonekana mawazo yako ni machanga sana kwenye shughuli za kisiasa, umeita watu wajinga lakini huenda wewe ukawa zaidi yao.
 
Mkuu thread yako imekua ndefu tu lkn iko kama Pilipili Hoho, haiwashi mana imejibiwa na mistari mitatu tu ya sentensi unaaza povu, kulikoni?
Sasa barua mnakuja kuzidai jf kwani jf ndiyo wanatoa hizo barua?nendeni mkazidai kwa wanaozitoa hizo barua nyie siniwapinzani wenye nguvu.

Chadomo bwanaaa!
 
Pole huelewi,Martin Luther alikuwa mkatoliki akaanzisha Lutheran,na shetani alikuwa malaika aliyeasi.hivyo usitegemee upinzani utoke sehemu nyingine zaidi ya ccm labda Kwa kizazi kijacho ambao wamekuta vyama vingi vipo

Unaona mnapokosea?usichanganye dini na siasa we chadomo,Luther alianzisha chama cha upinzani wa siasa?

Tatizo mnajifanya mnajua zaidi wakati mmetegwa padogo,nchi nyingi zenye vyama vya upinzani wa kweli walijiasisi wenyewe kwani 75% ni wanachama asili kabisa wasiohamia kutoka chama tawala,sasa nyie 75% ni mamluki kutoka chama tawala bado mnajiita upinzani

Itawachukua mamilioni ya miaka kujitambua chadomo nyie,ebo!!
 
Kuita Chama na wafuasi wake wote ni Wajinga si jambo jema. Afadhali ungewaita wale wanaopenda kushinda kwa nguvu bila haya Wapumbavu kwani hata Mungu hapendi wafanyalo.
Kama UMEKEREKA na yule alotumia neno WAJINGA kwamba SI JAMBO JEMA .... Je neno WAPUMBAVU ulotumia wewe NI JAMBO JEMA?
 
Ww mbona umekwisha kuwa kichaa ndomaana nyeupe unaiona kijani
Kuwa mkweli kichaa ni nani kati yangu na wewe uliye na mawazo ya kusadikika na kuaminisha watu ujinga ambao haupo,cdm ni mavi ya mbwa hayana thamani tena.

Uongo na kujikweza ndiyo sumu kwenu msiloliweza hamliwezi tu
 
Hivi huwaonei huruma wazazi wako waliokuzaa??ujinga gani huu??
Mjinga uache kuwa wewe mwenye matumaini ya fisi ya kusadikika,

Mbowe akudaie haki yako wakati yeye kashindwa kujitetea shamba lake wamekatakata,nyumba wamevunja,n.k bado hamujiyambui tu kuwa mmewapa watu ajira wanajenga mijumba wanasomesha watoto wao academics nyie mpo tu mnapiga makofi
 
Kuwa mkweli kichaa ni nani kati yangu na wewe uliye na mawazo ya kusadikika na kuaminisha watu ujinga ambao haupo,cdm ni mavi ya mbwa hayana thamani tena.

Uongo na kujikweza ndiyo sumu kwenu msiloliweza hamliwezi tu
CDM ni chama cha siasa kama CCM kimesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi na kinafanya kazi zake kwa kufuata taratibu za nchi sasa wewe na njaa zako za book 7 kama hutaki kuheshimu katiba kafie huko
 
CDM ni chama cha siasa kama CCM kimesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi na kinafanya kazi zake kwa kufuata taratibu za nchi sasa wewe na njaa zako za book 7 kama hutaki kuheshimu katiba kafie huko
Kumbe kwa upande mwibgine mnaikubali katiba eti?

Kwani wote wanaoandikishwa shuleni wakiwa wametimiza matakwa ya kuandikishwa huwa wanafaulu wote?

Chauma hakikusajiriwa je wanalalamika na kulialia kama cdm,ujuha unawasumbua.

Siku ukijua cdm=ccmB umeolewa mara milioni bwege wewe
 
Njaa inakusumbua mpaka umekua kichaa
 
Njaa inakusumbua mpaka umekua kichaa
Mimi na wewe nani ananjaa?

Tatizo hamkubali ukweli kuwa hamjui upinzani maana yake nini bwana matusi,ujanjaujanj,kujisikia,kulialia siyo dhana ya upinzani mzee kaeni chini mje upya.

Mlisema mtashinda majimbo yote ya marudio kwa njia yoyote ile,je mmeshinda?
 
Nimeamini naongea na kichaa madudu yaliyo tokea kwenye hizi chaguzi hujaona. Achana na mimi kumbe nilikuwa naongea na kichaa kweli
 
Back
Top Bottom