MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO.
Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania.
Amesema kwa sasa malalamiko ya PEMBEJEO yamepungua HAKIKA Rais kadanganywa na ni FEDHEHA kubwa.
HALI YA PEMBEJEO NI HII;
~ Mbolea ya kupandia DAP ni sh 60k 70k na nyingi imechakachuliwa wakulima wameingia hasara na wameshindwa kumudu bei, Mbolea ya ruzuku imesambazwa nje ya uhitaji na hajawafikia hata 30% ya wahitaji.
~ Mbegu ni tatizo Wizara imeshindwa kuungana na Wataalam watafiti wa mbegu matokeo yake kwa Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa kuzalisha MBEGU feki.
~ Madawa ni changamoto maduka yamejaa dawa feki na hakuna uthibiti wakulima wanaumizwa.
Nafahamu Rais hana ufahamu mpana wa KILIMO lakini Rais hawezi kujua kila kitu ila hua anashauriwa na Wataalam wa Wizara husika na kwenye hili la PEMBEJEO Rais KADANGANYWA naomba aite wadau wa kilimo azungumze nao atagundua KAONGOPEWA.