makokomakoko15
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 237
- 151
Leo nimepita pale,karibu ya Mlimani city njia ya sam nujoma.mkono wa kushoto nikaona yale majengo ya mabweni ya wanafunzi tayari yapo kwenye stage ya decoration yaani yanapakwa rangi.
Huu kama si ubunifu ninini.
Kwangu mimi ubunifu ni ile uwezo wa kunga'mua kwamba.
1.Kazi ifanywe na mamlaka ya serikari TBA
2.Bei ipatikane ndogo iwezekanavyo na akapata.
3.kazi ifanywe haraka sana ..kweli nimeona nyumba zinafanyiwa urembo sasa wanapaka rangi tu zingine zimesha pakwa rangi.
4.Quality .nyumba zimenyooka
Madirisha ya aluminium yamenyooka safi .kuta zimenyooka yaani bomba, yale mabweni yanafanana na hadhi ya UDSM..
5.Ile issue mkuu aliamua kujenga na akajenga hakuna kupoteza muda kwenye tenda sijui nini.majengo hayoo yameisha