Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

I do think that in what has transpired in Tanzania regarding the covid-19 pandemic so far, critics of the government are faced with a fait accompli.

You cannot prove that the government was not aiming at herd immunity though they never stated it as a strategy.

You cannot allege that seeking herd immunity by imposing lockdowns is tantamount to experimenting with people’s life because in our case the alternative is starvation. An equally, if not more worse sort of experimenting with human life.

If you claim that acquisition of herd immunity by the Tanzanian population is a hindsight on the government’s part you have to face the fact that regardless of unavailability or even concealation of information on cases of infections, recovery and mortality, the situation is still not so devastating as predicted. And not only that, you are still alive to tell the tale after all.

That leaves you with the unpalatable prediction that the so called second wave will hit the country hardest which amount to a deathwish for yourself and your own folks not to mention your fellow citizens. I would gather nobody hate themselves or others so much that they would wish life to perish just to prove a point!

So maybe everyone should just look ahead and swallow down their pride and vanities on positions taken. It is not as if you made a life and death bet which you lost and is now owed for life just by vetting for lockdowns.

But if you want to apologize and get the poison out of your system, I dare say that the great JF will surely accomodate you though I cannot vouch for that with certainty. You will definitely be the target of some stonethrowing as in this thread.

In short let ‘s have a positive mental attitude as we face the other aspects of Covid-19 which I am sure, will give us a run for our money.
That is, supposing we have any
( in a whisper).

And take care of course by adhering to the prescribed self and folk preventive measures since the disease is still with us.
Ukisema Lockdown itasababisha njaa unaonesha kuwa hujui maana ya Lockdown au unajua ila unataka kupotosha kama wanavyofanya wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A very good analysis in many ways.
 
Kwa kuwa uko sekta hiyo unaweza kututhibitishia maana mawakala wanazo taarifa za uhakika.
Wengi ni wale ambao hawakurudishiwa tickets na makampuni ya Ndege. Badala yake wakasogeza mbele.
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!

Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.

Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy
It is naive and a grave sin to sacrifice even a minor section of human life. It is socially irresponsible and unethical for the leadership to adopt such move. Let us continue protecting ourselves while pressing the govt. to update us daily on the pandemic.
 
Unaongelea "virus" ambae ni "DNA" corona ni "RNA" immunity yake huwezi ipata kwa "vaccines" kama vile ambavyo HIV hana "vaccines" mpaka sasa, zimeshindikana kwa kuwa nae pia ni RNA.

RNA ni "mutant" (anajibadili badili), ukitaka usitake ni lazima ujenge kinga ya mwili wako inayojitengeneza "naturally" na inayopatikana "naturally" kwa kui "boost natural immune system" kupitia kujipatia "natural boosters" za "vitamins" kwa wingi kwa kujipatia matunda na mboga mboga vile vile kuota jua la asubuhi na kufanya mazoezi kwa wingi na kuingiliana na kukutana na watu aina nyingi, kama tunavyoishi kikawaida nje ya "lockdowns".
Haswa ulichokiandika. Mwili wa binadamu umeumbwa kujenga kinga ya maradhi pale tu anapoambukizwa.
 
Kwa maana hiyo watakuja hivi karibuni maana tiketi zina muda wake kutumika!
Inategemea kama watapata udhuru kutoka kwenye serikali zao. Pia kama mashirika ya kimataifa ya ndege pamoja na anga vimefunguliwa.
 
Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja!

Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu!

Hata hivyo, juhudi zote za kujiuliza na kijifikirisha, zimepelekea mimi kuja na wazo hili. Kwasababu ni wazi tumetofautiana wengi wetu na kama Taifa kuhusiana na namna serikali yetu inadeal na hii world pandemic!

Scenario ninayodhani inachukuliwa Tanzania.

Kama data zinavyoonyesha, ni kwamba Tanzania ina idadi ya vijana ambao ni asilimia 90 ya Watanzania wote. Wazee wenye miaka 64 na kuendelea, ni asilimia 3.1 tu ya wananchi wa Tanzania. Ina maana tuna risk ndogo sana inapokuja kwenye corona. Na wengi wenye magonjwa sugu wanaangukia kwenye group la wazee.

Sasa kuna aina mbili za immune ambazo zinafahamika na kukubalika duniani kote, nazo ni...

I)kupitia chanjo(vaccine)

II)Kupitia “herd immunity” ama kinga inayopatikana baada ya kupona gonjwa hilo.

Kila gonjwa, huwa linapewa asilimia zake za kufikia kutokana na jinsi ambavyo lina kasi katika maambukizi, mfano ugonjwa huu wa covid-19, wataalam wanasema kutokana na kasi yake ya maambukizi, basi ni lazima asilimia 70 ya wananchi wote wapate corona ndipo tunaweza kusema Tanzania tuna kinga kupitia “herd immunity”. Hapo ikiwa ina maana asilimia 30 iliyobakia inaweza kulindwa mfano wazee, wenye magonjwa sugu nk. Lakini kwasababu tuna vijana asilimia 90, basi ina maana hatutapata shida hata kidogo kuzipata hizo asilimia 70 zinazohitajika na WHO.

Kwasababu vijana hawaathiriwi sana na corona, ina maana tuna faida inapokuja kwenye “herd immunity”, ama huu mfumo unaotumika sasa nchini kwasababu kama tuna vijana asilimia 90, hatuwezi kukosa asilimia 70 za kutuwezesha kupata herd immunity na kuishinda corona.

Lakini hata hivyo data ni muhimu kufahamu tulipofikia. Pengine viongozi wameliona hilo kwasababu wao ndo wenye kuziona data, na ndiyo maana wanakuwa optimistic na kutangaza kuwa tumeishinda corona.

hata hivyo, pia ukifuatilia kauli zao na matendo, ni kama vile wanataka wananchi wengi kadri iwezekanvyo, waupate ili tufikie ile asilimia 70 inayotakiwa.

To be continued...

Tanzania Population 2020 (Demographics, Maps, Graphs)

Nguruvi3 Kalamu1 JokaKuu imhotep
BAK
Sky Eclat denooJ Pythagoras The Boss Lucas Mobutu
Pascal Mayalla
Erythrocyte Salary Slip Magonjwa Mtambuka Bia yetu kipara kipya johnthebaptist
Chakaza G Sam Influenza
YEHODAYA Tabutupu Daudi Mchambuzi Victoire FaizaFoxy
Mkuu usisahau pia kuwa vijanawengi wameathirika kwa gonjwa la ukimwi na hao hawana kinga,pia tumesikia kuwa hata watoto nao ni wahanga wa huu ugonjwa,pamoja na hayo muhimu kila mtu ajikinge ingawa upo sahihi na huo mtazamo wengi wetu tumeshaujua,ni kama yalliyotokea Italy na Hispania ingawa ni tofauti na Korea na Japaniambako kuna wazee wengi na Marekani ambako wengi ya wanaokufa ni malofa yaani ambao ili waishi lazima waende wakafanye vibarua kwa mfano madereva,wazoa taka,wafanya usafi n.k
 
Mkuu nakubaliana kabisa na angalizo lako kuhusiana na wale waathirika. Sina uhakika kama vijana wadogo wameambukizwa kwa kiasi gani, ngoja tuhangaike kama tutapata data.

Kwa upande wa demographics...Inawezekana Italy na Spain nao wana wazee wengi kama USA. Lakini pia ni kweli kwamba pale wanapofungua, walioko kwenye higher risk ni wale walioko kwenye huduma mfano hao uliowataja pamoja na wengine wengi tu. Na wengi walioko huko siyo hao wazungu ambao wengi wao ndo hao babyboomers ambao wao ni kula bata tu.

As of July 1, 2019 (the latest date for which population estimates are available), Millennials, whom we define as ages 23 to 38 in 2019, numbered 72.1 million, and Boomers (ages 55 to 73) numbered 71.6 million. Generation X (ages 39 to 54) numbered 65.2 million and is projected to pass the Boomers in population by 2028.
Millennials overtake Baby Boomers as America’s largest generation
 
Mkuu mfianchi , nimerekebisha kidogo bandiko lilopita ambapo nilikujibu. Pia niliahidi kufuatilia kuhusu Spain Italy, hapa chini ni Italy, ni wazi kabisa wao wana wazee wengi zaidi kuliko vijana! Karibia nusu kama siyo nusu ya raia wake wote, ni wazee walioko kwenye risk kubwa!

Tatizo kubwa hata hivyo litakuwa kwetu kwenye utalii, kwasababu ni wazi wao ndo walikuwa wakija ku spend Africa kwenye utalii, haswa kule Zanzibar ambako wamewekeza sana.

In the past years, the share of people aged over 65 years grew constantly in Italy. In 2020, 23.1 percent of the Italian inhabitants were estimated to be aged 65 years and older. Moreover, 63.9 percent were aged between 15 and 64 years and 13 percent of Italians were up to 14 years old.
Italy: population distribution by age group 2002-2020 | Statista
 
Any scientific evidence that herd immunity works as far as covid-19 is concerned?
Any published research on the matter?
I am afraid that we are guessing that herd immunity is possible with this new corona virus without any proven scientific research.

Not all viruses human beings are able to develop natural immunity once exposed, one example is the virus that courses common flu.
The other thing is once a person acquires this virus in his youth when his immunity is strong, as this person ages and immunity falls as well as developing other ailments such as diabetes, heart problems etc then the corona virus in his body could resurge eventually shortening his life.

So we are talking about shortening people's life span if we allow this virus to be common among the population.
 
Mkuu unachosema ni kweli kuhusiana na long term impacts on ones body after recovering from covid-19. Hilo bado linawaumiza kichwa kwasababu gonjwa hili linaufanya mwili kutumia kazi ya ziada kwenye kupambana nao.
But experts are warning of possible long-term effects for patients after they’ve survived the coronavirus. Doctors know now that the disease attacks many systems within the body — from the lungs and heart to the liver and kidneys, says Yale cardiologist Dr. Harlan Krumholz.
Kama Krumholz anavyosema hapo chini...
“The virus can attack almost any organ system within the body,” he says, “and … can do so with a ferocity that's rarely seen and can place people in positions where almost every body system is affected.”

The immune system’s response to the coronavirus alone could cause long-term damage because this “violent battle taking place” puts stress on the entire body, Krumholz explains.
As Patients Recover From Coronavirus, Doctors Wonder About Long-Term Health Impacts
 
Back
Top Bottom