Kwenye DSTV unaweza kutazama channel za ndani bila kulipia?

Herbert Nkuluzi

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
2,430
2,436
Ndugu zangu kuna tatizo ninalo hapa natumia king'amuzi cha DSTV ila ghafla channel zote hazioneshi hata zile za ndani ya nchi yetu. Wenye uzoefu mnisaidie maana nilisikia eti channel za ndani sharti zioneshwe hata kama hujalipia kwa king'amuzi chochote kile.
 
Mkuu hilo usemalo ni sahihi kabisa! Hawa jamaa dstv hata mie huwa siwaelewi kabisa kwani kama hujalipa salio limeisha channel zote za ndani kama channel 10, star tv, tv imaan n.k zinakata vile vile
Nadhani taasisi husika zifanyie kazi masuala haya kama kweli mteja na haki ya kuangalia channel za ndani bure
 
Kuna mchangiaji kasema zinapatikana ukienda kwenye my favourite channels

Tujaribu tuone mkuu huenda ndiyo pona yetu
 
Hapo bado. Itabakia list ya channel 3 tu; 100, TBC na Channel 10!
Wakati fulan hivi 'vyuma vilikaza saana' hadi kujikuta salio linakata kabisa na kusikilizia siku 2 au 3 za kufanya makusanyo ya malipo, kwa kweli channel hizo zote za 'local' si channel 10 wala TBC 1 wala Star v et al zilikuwa zinakata! Zinabaki no 100 na zile za Kichina tu! Labda wamefanya mbadiliko kwa sasa
 
Ndugu zangu kuna tatizo ninalo hapa natumia king'amuzi cha DSTV ila ghafla channel zote hazioneshi hata zile za ndani ya nchi yetu. Wenye uzoefu mnisaidie maana nilisikia eti channel za ndani sharti zioneshwe hata kama hujalipia kwa king'amuzi chochote kile.
Hakuna kitu kama hicho ndugu...
Hayo uwa ni maneno ya jukwaabi wakati wakilaghai watanzania wakubari kuhamia digital watoke analojia
 
Asante sana kwa taarifa ngoja nifanye hivyo maana huenda ikawa mkombozi, ila nieleweshe mbona kwenye list ya channel zote hizo channel zipo ila hazifunguki?
Kama watumia flat screen funga antena wakikata unabamba zile za local fta kama eatv, tbc, itv, arirang, swahili tv, nhk world na nyingine nyingi mpaka ukinasa eka ya kulipia
 
Hata AZAM ambao tuliwategemea Salio likiisha wanakubakishia TBC na CAPITAL sembuse hao makaburu
 
Kama watumia flat screen funga antena wakikata unabamba zile za local fta kama eatv, tbc, itv, arirang, swahili tv, nhk world na nyingine nyingi mpaka ukinasa eka ya kulipia

Mkuu nieleweshe hapa hizo chanel unazipataje ,je bila kingamuzi unaweza kuzingamua
 
Kama una tv flat yenye inbuilt decoder, unaunga waya wa antena moja kwa moja kwenye tv unaset digital tv na ku out search.
Antena iwe imeelekezwa kule ambapo ukichomeka startimes inanasa.
Basi zitaingia kama 200 ila nyingi zimefungwa zitakazoonyeshwa ni kama 22
 
...
Ipo haja ya kutofautisha baina ya dishi na antena.
Na ufahamu wa
1.pay tv
2.free to view tv na
3.free to air tv
...
 
Kama una tv flat yenye inbuilt decoder, unaunga waya wa antena moja kwa moja kwenye tv unaset digital tv na ku out search.
Antena iwe imeelekezwa kule ambapo ukichomeka startimes inanasa.
Basi zitaingia kama 200 ila nyingi zimefungwa zitakazoonyeshwa ni kama 22

Mwanzoni ilianza inaonesha but zilikuja kusitishwa ikabaki chanel ten tu
 
Back
Top Bottom