Kwenye CECAFA kila nchi itumie chake.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Katika muungano wetu wa Zanzibar na Tanganyika suala la michezo halimo hivo ushiriki wa michezo kimataifa kila nchi yapaswa ijitegemee sasa inakuwaje timu ya Tanganyika kutumia:-
1. Wimbo wa taifa wa JAMHURI YA MUUNGANO.
2. Bendela ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO.
3. Jezi ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO na kadharika, hii si sawa hata kidogo.
Tafakari....
 
Kaka Muungano huu ni kizungu mkuti tu - upoupo tu
 
Hamna nchi inaitwa Tanganyika, ilikufa tarehe 26 Aprili 1964. Sasa wimbo, bendera na jezi vitoke wapi?
 
Kimsingi hata mjadala wa katiba mpya ulipaswa sana kugusia hili jambo. Matokeo yake watu wanazungumzia vitu vyepesi mno. Ukifuatilia katika vyombo vya habari, ndiyo issue zinazopewa kipaumbele.

Tuna serikali ipo Bara, inaongoza Muungano kati ya Bara na Visiwani. Wale wa Visiwani wana serikali ila Bara hawana, surely hii haijakaa sawa kabisa!!
 
Katika muungano wetu wa Zanzibar na Tanganyika suala la michezo halimo hivo ushiriki wa michezo kimataifa kila nchi yapaswa ijitegemee sasa inakuwaje timu ya Tanganyika kutumia:-
1. Wimbo wa taifa wa JAMHURI YA MUUNGANO.
2. Bendela ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO.
3. Jezi ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO na kadharika, hii si sawa hata kidogo.
Tafakari....

Kumbuka hadi kocha wanadanandia wa Muungano...
 
Zenji wakinyakua kombe walipeleke bungeni na kisha magogoni kwa president.
 
Wa visiwani ndio wanataka kila kitu chao, wimbo wao, bendera wao,nchi yao, nk. Wabara wao hawajali sana kipi chao, kipi si chao. Kwa hiyo aliyekataa vya pamoja asishangae wala kulazimisha mwenzio naye atafute vyake peke yake
 
Zamani nakumbuka enzi ya awamu ya kwanza 'ya baba wa taifa' kwenye CECAFA Zanzibar haikuwa na hivo vyote ulivovitaja, sasa vimetoka wapi wakati Tanganyika inashindwa?
Hamna nchi inaitwa Tanganyika, ilikufa tarehe 26 Aprili 1964. Sasa wimbo, bendera na jezi vitoke wapi?
TAFAKARI NDUGU.
 
Hivi hata SOKSI nazo ni za timu ya Muungano? Mie sijisikii vizuri kuangalia mechi 'LIVE' ichezapo kuogopa kupata ugonjwa wa MOYO.

Back
Top Bottom