Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Katika muungano wetu wa Zanzibar na Tanganyika suala la michezo halimo hivo ushiriki wa michezo kimataifa kila nchi yapaswa ijitegemee sasa inakuwaje timu ya Tanganyika kutumia:-
1. Wimbo wa taifa wa JAMHURI YA MUUNGANO.
2. Bendela ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO.
3. Jezi ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO na kadharika, hii si sawa hata kidogo.
Tafakari....
1. Wimbo wa taifa wa JAMHURI YA MUUNGANO.
2. Bendela ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO.
3. Jezi ya taifa ya JAMHURI YA MUUNGANO na kadharika, hii si sawa hata kidogo.
Tafakari....