johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,913
- 141,863
Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to hell" na waziri mwingine akawajibu wabunge 'kila mtu atabeba msalaba wake'
Kwenye NEC wasingeweza kutoa kauli hizo kwa sababu mwenyekiti wa NEC ndio Rais wa nchi.
Anyway tulikuwa tunajadili tu kauli ya mzee Msekwa kwamba hakuna kazi rahisi duniani kama kuongoza Bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!