Kwenye biashara ya diesel/petrol hakuna mchezo mchafu unafanyika hapa TZ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenye biashara ya diesel/petrol hakuna mchezo mchafu unafanyika hapa TZ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ntemi Kazwile, May 24, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bei ya diesel na petrol kwenye mji wa Pemba (Mozambique) leo ni kama ifuatavyo:
  • Diesel 27.24 MTs
  • Petrol 29.11 MTs
  Exchange rate ya MTs ya benk (siyo average ya benki kuu) ya Meticais (MTs) na dollar ni US$1 = 33.85MTs (buying) na 34.53MTs (selling)

  Kwa taarifa yako mji wa Pemba uko kilometre kama 400 kutoka Nacala (bandari yanaposhushiwa mafuta)

  Hapa Bongo bei ya diesel na petrol ni kama ifuatavyo
  • Diesel 1,600 Tshs
  • Petro 1,650 Tshs
  Exchange rate ya leo (nimeuza dollar CRDB) ni US$1 = 1,463 kununua dollar inaweza kuwa mpaka 1,500

  Kwa kifupi ni kwamba kwa nini bei ya mafuta Pemba (Mozambique) ambayo ni zaidi ya 400km kutoka yanaposhushiwa ni chini ya US$1 (US$0.81)? wakati hapa kwetu ni zaidi ya US$1 (US$1.1) kwa nini????

  Mozambique wanaimport mafuta kama sisi, je au tunafinance ufisadi hapa???

  Je kwa nini BP wanakimbia Tanzania?? Si hayo tu, hata kwenye construction industry makampuni yote yenye integrity (European companies kama Skanska, etc) yote yamefunga virago ma matokeo yake wote tunayajua (fake everything)....

  Kwa nini?????????????
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Je hapo Tupewe miwani ili tuweze kuona Kushidwa uongozi kwa CCM....Najua kuna Mamluki hawatakubaliana nami!
   
 3. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawa EWURA ni sehemu ya mafisadi au wanatumikia mafisadi ili kuibia wananchi hata bei elekezi zao ni wizi mtupu kwanza hazina mchanganuo wa kitaalamu zaidi ya kujaa utapeli, hawaonyeshi beio wanayonunulia huko sokoni, transportation charge ili hata bei ikibadilika ujue ni bei imepanda au kushuka inakouzwa, au transportation cost zimeonezeka/kupungua. Wachosema wao always bei emepanda soko la dunia na ikishuka habadilishi bei na sababu yao ingine ni exchange rate. EWURA bora ifanyiwe mabadiliko
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aminia ndugu yangu upo juu kuchangia
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Shida hii nchi haina mwenyewe watu wanajilia tu kiulaniiii, kila mfanyabiashara anajipangia bei yake, hawa EWURA na SMATRA ni sehemu za kufanyia ufisadi tu kwa baadhi ya vigogo wa nchi hii.Bei ya bidhaa hapa bongo ni juu mno, huwezi amini petroli na dizeli nchi kama Malawi na Zambia ni nafuu wakati hawa ni land locked countries. Tuna shida kubwa na uongozi wa JK, wameshindwa kazi na kulifanya soko kuwa holela badala ya kuwa huria, lazima tukubali kuwa kama hakuna bodi imara za udhibiti wa bei hatuwezi kuwa na bei zenye nafuu Tanzania, lakini hii yote ni ufisadi tu wa baadhi ya watu ambao hawana huruma na maisha magumu ambayo walala hoi wanaishi.Sio siri wakati wa mabadiliko ni sasa tuungane kuing'oa serikali ya CCM itatumaliza kama tukiipa kipindi kingine.
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu kwa nini makampuni yenye integrity yanakimbia Bongo???
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  May 24, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu hawewezi kuhonga ili wafanye biashara. Rushwa kwao ni sumu.
   
 8. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I am not sure kama ni serikali ya CCM wala JK as president is to blame, but again, everybody is entitled to their own opinions.

  Bei ya pipa moja (barrel) soko la dunia hadi last week was $74, pretty low depending of its high of $160 + a couple of years back. Despite this, bei haijashuka pia hapa TZ!

  Na sio mafuta tuu, bali hata bei za nyumba siku hizi ma landlord utasikia "nataka dollar 800", "nipe dollar 1000" etc kwa mwezi, this going on despite the world economic crisis worldwide where housing prices (za nyumba na not that much za renting) are plummeting big time! It is also very illegal in TZ to charge rent in USD, other than good old Tshs, that is.

  Lakini hili swala la mafuta lazima tuliangalie kwa undani kidogo kwani mpaka soko la mafuta lilipowekwa liwe huru na kuingia makampuni binafsi ndipo mambo yalipoharibika. Hawa wananua mafuta kwa bei che ya jumla na hawapunguzi ng'oo na hawajali sana kwani kutoka bei wanayonunulia (usafiri ni juu ya muuzaji!) na mpaka wanapokuja kuiuza hapa nchini na nchi jirani etc, haya makampuni are making killer profits!! Mjini hapa utawaona magari yao wanayoendesha, nyumba wanazokaa, maisha wanayoishi etc. Na, sio kwamba nawesema vibaya, but wote ni wazalendo wenye asili ya kihindi na/ama kiarabu. Sasa ngoja ajaribu mzawa kuingia kwenye soko hilo - one of Porters Five Forces inaweza kumtoa na kupigwa knockout ya nguvu!!!

  Go figure!!!!!
   
 9. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2010
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Bei za mafuta Tz ziko juu kutokana na kodi kubwa na pia urasimu mwingine kama EWURA.
  Gharama za uendeshaji EWURA ambayo hatujaona tofauti kati ya uwepo au kutokuwepo kwake ni mzigo unaongezeka kwa mwananchi wa kawaida.
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sidhani kuwa hii ni sababu kubwa sana.. mimi nina wasiwasi kuwa kuna kitu more fishy than this... what if these mafisadis wanakusanya pesa kwa ajili ya kuweka watu wao kwenye siasa?????????????
   
 11. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hilo kidogo lipo karibu na ukweli
   
Loading...