wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,129
Kwenye hapo ulipo sema hatuwezi kumfanya lolote nakuunga mkono kabisa maana uwoga wa kuhukumu hawa viongozi umetujaa sana kisa utasikia Amani yetu,huku mfumuko wa bei ukipanda kila mara na mafuta yanapanda bei bila kikomo, wao wala hawana shida kiyoyozi ofisini,kwenye gari , marupu rupu kibao kwanini wasiwe na kiburi?Kuna wakati huwa najaribu kufikiria, hivi hawa Viongozi wanawaongoza Manyangau au Binadamu? Speaker kwa kweli kapoteza kabisa weredi wa kuwa Kiongozi, na anajiamini sana Watanzania hatuwezi kumfanya lolote. Nadhani aelewe tu, ktk watu waliopoteza muelekeo na yeye yupo, busara zero kabisa. Asubiri kitu kimoja kinaitwa "MUDA" ukifika akumbuke akina Thomas Sankara.