Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

Kuna wakati huwa najaribu kufikiria, hivi hawa Viongozi wanawaongoza Manyangau au Binadamu? Speaker kwa kweli kapoteza kabisa weredi wa kuwa Kiongozi, na anajiamini sana Watanzania hatuwezi kumfanya lolote. Nadhani aelewe tu, ktk watu waliopoteza muelekeo na yeye yupo, busara zero kabisa. Asubiri kitu kimoja kinaitwa "MUDA" ukifika akumbuke akina Thomas Sankara.
Kwenye hapo ulipo sema hatuwezi kumfanya lolote nakuunga mkono kabisa maana uwoga wa kuhukumu hawa viongozi umetujaa sana kisa utasikia Amani yetu,huku mfumuko wa bei ukipanda kila mara na mafuta yanapanda bei bila kikomo, wao wala hawana shida kiyoyozi ofisini,kwenye gari , marupu rupu kibao kwanini wasiwe na kiburi?
 
Anajitia aibu tu mavidonge yake anayomeza, wakati mwingine wanatakiwa kukaa kimya tu sio kujitia wanajua kila kitu Buinge lile ni Janga kwa watanzania ikianzia kwa huyo Job
 
Maneno meeeeengi kupoteza muda,kumbe hata mistari haijui.Anatueleza safari zooote hizo, itusaidie nini.

Wabunge hawa wameshaadhibiwa bado spika anachukua muda mreefu (Hapo tunasema kumsimanga mbunge mmoja kulikoni hapo),

Mambo haya yanatusikitisha Watanzania jambo lisilokuwa na tija kwa Watanzania ndilo linachukua muda mrefu ndani ya bunge kujadiliwa? Ni kwamba wabunge hawakielewi au wanafanya makusudi wapate posho liende.

Tulitegemea katika hili kamati imeshatoa maamuzi lisipoteze tena muda lipite ndiooooooooooooooooo mambo yasonge.

Kwa bunge la leo,tulitegemea kabisa kusikia matatizo yaliyojitokea au kero mbalimbali zilizotokana na maamuzi ya wabunge zikawa kero kwa wananchi na kwao pia baada ya maamuzi yao kujadiliwa na kutolewa ufafanuzi na maamuzi mapya.Badala yake kipindi cha bunge kimekuwa cha mipasho.

Tulitegeme kusikia mjadala mzito na wa kina juu ya Tozo za simu,petroli kupanda kila kukicha, kodi za majengo zinazokatwa kwa makosa ukinunua umeme,usalama wa wananchi,katiba ya nchi,kubambikiwa makesi,msongamano wa mahabusu magerezani nk.kuna vitu kibao tena vya msingi.

Badala yake Spika wa Bunge anatueleza safari zake zisizo na lolote kwetu,na wabunge wanapiga makofi.Thisi is shame halafu bado Sina hakika kama gharama zote za safari hizo kama ni za kwake au ni kodi za wananchi wanyonge wa Tanzania.

Tujadili mambo yanayawaletea wananchi umaskini,tena wa kutupwa yaliyoamuliwa na wabunge waliopelekwa bungeni kuwakilisha wananchi na kuyatafutia suluhu.

Kwa sasa wabunge wetu wanajiwakilisha wenyewe na kuiwakilisha serikali.(Leo hii serikali imetangaza mafuta petroli diesel mafuta ya taa bei imepanda.Ilikuwa petroli shs.2543/-sijui kesho asubuhi inawezekana ikawa 2600/- kwa lita.Sasa najiuliza,marehemu tangu aongoze hii nchi kwa miaka 5 kama ilipanda ni kwa kiasi kidogo sana.Kwa nini sasa hivi inapanda kila mwezi, pili kwanini hatusikii tena mwezi huu imeshuka,mwezi mwingine imepanda kuna nini.Au huko nako kuna tozo ya posho za...................
Ndugai ni mtu mwenye chuki binafsi sn hafai
 
Naanza kuyaamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa watakaochanjwa chanjo ya corona wote wataanza kuwa ma-zombie!

Tunaanza kuunganisha dots.

Huyu Spika Ndugai alishapata chanjo siku chache zilizopita.

Najaribu kufikiria, hivi huyu Spika Ndugai ndiyo wa kusema Yesu alikuwa na mke??
Kama hajaufuta usemi huo ni dhahiri hafai kuwa mshauri wa katekisti, achilia mbali Askofu!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Maneno meeeeengi kupoteza muda,kumbe hata mistari haijui.Anatueleza safari zooote hizo, itusaidie nini.

Wabunge hawa wameshaadhibiwa bado spika anachukua muda mreefu (Hapo tunasema kumsimanga mbunge mmoja kulikoni hapo),

Mambo haya yanatusikitisha Watanzania jambo lisilokuwa na tija kwa Watanzania ndilo linachukua muda mrefu ndani ya bunge kujadiliwa? Ni kwamba wabunge hawakielewi au wanafanya makusudi wapate posho liende.

Tulitegemea katika hili kamati imeshatoa maamuzi lisipoteze tena muda lipite ndiooooooooooooooooo mambo yasonge.

Kwa bunge la leo,tulitegemea kabisa kusikia matatizo yaliyojitokea au kero mbalimbali zilizotokana na maamuzi ya wabunge zikawa kero kwa wananchi na kwao pia baada ya maamuzi yao kujadiliwa na kutolewa ufafanuzi na maamuzi mapya.Badala yake kipindi cha bunge kimekuwa cha mipasho.

Tulitegeme kusikia mjadala mzito na wa kina juu ya Tozo za simu,petroli kupanda kila kukicha, kodi za majengo zinazokatwa kwa makosa ukinunua umeme,usalama wa wananchi,katiba ya nchi,kubambikiwa makesi,msongamano wa mahabusu magerezani nk.kuna vitu kibao tena vya msingi.

Badala yake Spika wa Bunge anatueleza safari zake zisizo na lolote kwetu,na wabunge wanapiga makofi.Thisi is shame halafu bado Sina hakika kama gharama zote za safari hizo kama ni za kwake au ni kodi za wananchi wanyonge wa Tanzania.

Tujadili mambo yanayawaletea wananchi umaskini,tena wa kutupwa yaliyoamuliwa na wabunge waliopelekwa bungeni kuwakilisha wananchi na kuyatafutia suluhu.

Kwa sasa wabunge wetu wanajiwakilisha wenyewe na kuiwakilisha serikali.(Leo hii serikali imetangaza mafuta petroli diesel mafuta ya taa bei imepanda.Ilikuwa petroli shs.2543/-sijui kesho asubuhi inawezekana ikawa 2600/- kwa lita.Sasa najiuliza,marehemu tangu aongoze hii nchi kwa miaka 5 kama ilipanda ni kwa kiasi kidogo sana.Kwa nini sasa hivi inapanda kila mwezi, pili kwanini hatusikii tena mwezi huu imeshuka,mwezi mwingine imepanda kuna nini.Au huko nako kuna tozo ya posho za
Na hizo safari ameziweza kwa kupanda gharama zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom