Kwenye akaunti inaonesha selected ila ktk lists hayupo ..msaada

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
Habari waungwana msaada wenu dogo orodha ya wanafunzi waliochaguliwa hayupo ila akifungua akaunti yake anapewa congratulations kwa kuchaguliwa vipi hapo afanyeje
 
Awasiliane na chuo mbona inatokea sana kama Hakuconfirm bhasi anaweza asitokee kwenye list maana ukutr kachaguliwa vyuo zaidi ya kimoja.
 
Relax acha mapepe.... List nyingi zimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa chuo kimoja tu..

Km umechaguliwa chuo zaid ya kimoja unapatikana kwenye list ya tcu tu.
 
k
Relax acha mapepe.... List nyingi zimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa chuo kimoja tu..

Km umechaguliwa chuo zaid ya kimoja unapatikana kwenye list ya tcu tu.
kote sipo ndugu...sipo katika orodha ya vyuo wala tcu ila ktk akaunti ya chuo kimoja nimeambiwa kuwa nimekua selected and confirmed
 
hapana ni chuo hicho tu kimoja vyengine kakosa na ameandikiwa confirmed

Umechaguliwa chuo gani ?

Imewahi kunitokea wakati fulani nilichaguliwa kwenye akaunti yangu lakini kwenye orodha sikuwepo na sikuwahi kuwapo, lakini haikubadilisha ''uanafunzi wangu'' kwenye chuo hicho.

Hilo lako sio tatizo hata kidogo.
 
k
kote sipo ndugu...sipo katika orodha ya vyuo wala tcu ila ktk akaunti ya chuo kimoja nimeambiwa kuwa nimekua selected and confirmed
Sidhan km inaweza tokea iyo.. Km ni system ndio inafanya!

Km sio kaya.. Basi wenge lako au mambo yameingiliana...
Iyo ni personal mzee jivute tu chuo...
 
Back
Top Bottom