Kwenu wataalamu'

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
Bila shaka wote mpo poa,jamani kuna vipele vimeniota chini ya kisogo kama vile vya mtu akishanyoa bila kupaka after shave ila mi ninaenda saloon na machine yangu na napaka after shave kila nimalizapo kunyoa ila bado hivi vipele vinazid kujitokeza tena sasa vinaongezeka ukubwa kila kukicha, kiukweli vananikera sana na sometime vinasababisha muwasho flani.Naomba kama kuna yeyote atakae kuwa na ushauri wowote anipe please.
 
Back
Top Bottom