GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 299
- 269
Nawasalimu kwa jina la yeye aliyetuumba,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kufatilia hizi android TV ama smart TV nimegundua nyingi zina in bulit decoder hivyo mtu akipata antenna au dishi baadhi ya channel zinafunguka, sasa nipo hapa kuuliza je, kuna uwezekano wa ku-unlock scrumbled channel mtu akaweza kuona channel zote.
Kama kuna mtu ambaye alishagawahi kufanya share us your experience pamoja na software za ku-unlockia
Natanguliza shkurani.