Kwenu wataalamu wa Sheria

StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
3,679
3,718
Naomba kuuliza je,ni faida zipi anazonufaika nazo wakili endapo akiwa anashinda kesi anazowakilisha ukiacha malipo anayolipwa na wateja wake?
 
Kutengeneza uaminifu, koneksheni na kupata wateja wengi.

Kifuatacho ITV ni.......
 
Back
Top Bottom