Kwenu wasom wa tafa hl

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,021
189
KUNA WATU HUMU WANAJİSİFU
WASOMİ SANA.

mimi na swali moja kwao,kwa usomi
walio nao wanalisaidia vp Taifa dhdi
ya haya yanayo endelea nchini.
1Ufisadi
2.matumizi ya mabavu ya serekali
dhidi ya Raia
3.mikataba mibovu na isio na tija
kwa vizaz vya sasa vijavyo
4.Udini na uchochezi
5.upande wa pili wa tz,smz kudai
mamlaka kamili pamoja na kujitenga
6.matumizi mabaya ya taasisi za
serekali
7.Elimu mbovu isiyo na tija
inayotolewa sasa
8.Ujangili unao endlea na hatar ya
kutoweka kwa tembo na faru
9.Deni la Taifa kuongezeka
maradufu
10.mishahara duni kwa wafanyakaz
wa serekali na taasisi binafsi na
mikataba isiyo kuwa na tija kwa
wafanya kazi
11.usomi ulio nao unalisaidia vipi
taifa katka kudhbiti na ufanisi wa
ukusanyaji wa mapato/kodi

KAMA WEWE UNAJİİTA MSÖMİ NA
HUNA MCHANGO WOWOTE KWA
CHANGAMOTO ZİNAZO KABİLİ TAİFA
HİLİ,USOMİ WAKO Nİ SAWA NA
TÓNE LA DAMU NDANİ YA BAHARİ

#nawasilisha
 
Una hoja nzuri, tatizo uandishi wako mkuu

Umeandika kiswahili cha ajabu.!
 
Kama ujumbe wako ni mahususi criminologists sawa, sasa 'mimi' gynecologist au Rutashobya ambaye ni kalologist au Rweyemamu ambaye anachukua ka-PhD ka Cosmology kule States tukusaidieje kwenye kapu moja ulimoturundika?

By the way, hukumsikia economist anasema aliokoa jahazi japo mlimyima kura?
 
profesa umri unamtupa mkono sasa anakumbuka mabaya na anaanza kutubu kidogo kidogo.
 
tatizo liliopo ni la kimfumo. Watendaji wa nchi wanapatikanaje? Wachumi wa BoT, wanasheria wa serikali, ma-speaker, mabalozi, watendaji, watunga sera, wahazini wa fedha n.k wanapatikanje???

Hakuna mfumo thabiti wakuoanisha majukumu na wenye sifa bali mfumo uliopo ni wa kichama, kidugu, kirafiki na pengine kikabila. Kwa namna hiyo usitegemee balozi wa tz uchina anateuliwa rafiki wa mkubwa au uchumi BoT anapewa mtu asie na sifa kisa mtoto wa ex waziri fulani.

Mpaka hapo nchi itakapoamua kuendeshwa kimisngi ya kuzingatia sifa na uwajibikaji ndio unaweza kuwauliza hao wasomi maana kwa sasa hawana hizo nafasi.

Katika 'stakeholder matrix' kuna watu wenye ukereketwa lakini hawana mamlaka. Wenye mamlaka hawana hata dhamira ya kufanya lolote jema. Penye miti hapana wajenzi. Anza kubadilika wewe na kubadilisha mfumo batili. Tutafika tu hata ikiwa kwa vizazi vyijavyo.
 
mfumo wa watu kuwekeza ajira haujaanza leo lakni,na halizungumziwı na kama linazungumziwa basi ni kisiasa zaidi
 
Back
Top Bottom