Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Umeongea kweli kabisa..ilishawai nitokea mke wa mwanajeshi kabs akanipenda mwenyewe kisa nilikuwa nanunua bidhaa dukani kwake..nikitoka job nimepndeza anasema we kijana mzuri sana ..Mara pa akaja kwangu anaomba maji ya kunywa...nilivyompa maji kuaga atoke hamna...nikajiongeza nikapiga ndo ukawa mchezo wetu..mpka naama mji bado ananitafta tu..ananizidi kama miaka 8 sjui kwann wanawapenda vijana.
Kapime mkuu.
 
Sasa kama hapa hata ukinizidi miaka 30 naiachaje
Screenshot_20210920-164959.png
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.

Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti nilisikia harusi yake ilikuwa kubwa tu hapa mjini na ilihudhuriwa na mmoja wa kiongozi mkubwa tu ambaye kwa sasa amestaafu.

Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.

Hawa vijana wadogo wengi mnawaharibia kesho yao, kwa mfano mimi nikianza kutoka na kijana ninae mzidi umri unafikiri ataanzaje kuniacha kwa mfano? yaani nijishughulishe vilivyo kitandani halafu nimpe na pesa za matumizi ni muda gani atafikiria kuwa na familia yake? kwa hili tujaribu kubadilika hawa watoto sio saizi zetu.
Toka miaka ya 2007 nlikua nadeti na dada mmoja mzenji ana bwana ake yupo UK kikazi na hadi leo nipo nae Ila nimechelewa tu kuoa kila kitu cha kitandani alinipa + paundi za jamaa na vizawadi kibao toka UK nimemkuta na watoto watatu wadogo mpaka sasa wameoa na wameolewa na wananiita anko. Alishanifumania zaidi ya mara 3 akafanya fujo na hakuniacha mpaka leo anasema najua kumfikisha...Dada amenizidi miaka 8 nampelekea moto mpaka ndugu zake wanajua kafa kwangu alienda kuwahadithia rafiki zake wakaja nikawapelea moto kama wa 4 kila mmoja alikuja kivyake
 
Sasa kama hapa hata ukinizidi miaka 30 naiachaje
View attachment 1946222
Vijana tunapenda wamama kwa sababu nyingi sana na sio pesa tu!

Moja! Wamama wengi hawana vizinga vya kijinga jinga,baby naomba pesa ya kwenda saloon,baby umeniletea zawadi gani,hawana maswali yakijinga,uko wapi,unafanya nini,umekula nini,unaenda kula nini,leo umevaaje,vipi baby sijaona muamala wako mda mrefu,wakati huo anajua kabisa financial status yako ikoje!

Mbili! Wamama hata mkiwa field,hua wanagharamia bills nyingi tu,mfano mnapanga kwenda field,analipia kabisa hotel,vinjwaji na still anakupa na pesa kawape watoto wako zawadi! Hawana wivu wakitoto,hata usipopokea simu yake,hana maswali mbona hupokei simu yangu,wanajiheshimu,ukiwa home na Mke wako hawezi andika baby leo umenifanya hadi natamani tena uje,sms zao ni hujambo mwanangu basi,hata kama simu anayo wife haita leta shida!

Tatu! Shida inakuja pale kijana huna familia,huna mke wala watoto na una date na Mama mtu mzima,hapo kwa kweli hua sina,namna zaidi yakusema tu,tuache kitonga!

Mimi wamama hua nawapa dushe kwa kwenda mbele tu,na wao wanahitaji sana huduma zangu,na wala hua sihitaji kua na pesa nyingi sana kua nao,mmoja nimesoma nae yupo ofisi flani hivi yenye pesa,nakula hadi kesho na ana watoto wake wakike watatu wawili wamemaliza Chuo Kikuu na mmoja yupo secondary! Maisha nikusaidiana aiseeew
😳😳😳 kumbe ni vijana wengi mmeingia kwenye huu ujinga
 
Toka miaka ya 2007 nlikua nadeti na dada mmoja mzenji ana bwana ake yupo UK kikazi na hadi leo nipo nae Ila nimechelewa tu kuoa kila kitu cha kitandani alinipa + paundi za jamaa na vizawadi kibao toka UK nimemkuta na watoto watatu wadogo mpaka sasa wameoa na wameolewa na wananiita anko. Alishanifumania zaidi ya mara 3 akafanya fujo na hakuniacha mpaka leo anasema najua kumfikisha...Dada amenizidi miaka 8 nampelekea moto mpaka ndugu zake wanajua kafa kwangu alienda kuwahadithia rafiki zake wakaja nikawapelea moto kama wa 4 kila mmoja alikuja kivyake
Hongera sana,kwenye kikao chetu cha Mwezi December tutakupatia tuzo na nishani ya ujasiri na ukakamavu.
 
Back
Top Bottom