Kwenu Wanandoa na wadau wengine-Hivi PORNOGRAPHY inabomoa Ndoa au inaimarisha?

mmm I dont support this, mi naamini ni kujitafutia addictiion zisizokuwa na msingi.
 
mmm I dont support this, mi naamini ni kujitafutia addictiion zisizokuwa na msingi.

Mimi huwa naziogopa kama ukimwi vile au kama madawa ya kulevya,mbaya zaidi zinaharibu sana wanafunzi huko kwenye internet cafes
 
Naombeni kuuliza kwani hao wanaoziproduce hizo picha wanakua na lengo gani haswa vichwani mwao?na walengwa ni gani?maana kuna zingine ambazo zinatengenezwa specially for married couples zinakuwa zimetulia kuna maelezo jinsi ya kupitia process zote mpaka mmalize mahitaji yenu. lakini hizi zingine ndo hard core ile mbaya yani za kufa mtu mpaka unabaki midomo wazi sasa walengwa ni nani haswaa kabla ya kujua kama inabomoa au inaimarisha mahusiano yoyote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom