Kwenu Wabunge Wetu:Matawi ya Mwiba yasipotoka kateni Mti Mzima

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,223
GreaTthinkers,

Tumeshachoka kudanganywa, Tumeshachoka kupotezewa muda, Tumeshachoka kuibiwa.

Wanaingia mikataba mibovu ili baadae jasho letu waligawane

Mkataba gani Eti hata kama hawakutoa Umeme kwa Mwezi walipwe mil 4000 Tsh? Wakizalisha Mil 8000Tsh?

Kwanza kwa nini, bado hawako rumande hadi saivi? Kupewa mil 1600 Tsh Eti zawadi, umegawa nini kwa Ruge wewe?

Mikataba yote hii,https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/97126-maandamano-ya-amani-nchi-nzima.html

 • Nchi inadidimia,
 • madawa hakuna hospitali,
 • vijana wanakosa mikopo,
 • Wananchi wa Kigamboni wanalia,
Wapuuzi wachache Eti wanasema sio hela zetu,

 • Nani anakatwa kodi kulipa IPTL?
 • Nani kabebeshwa mkataba wa kihuni wa IPTL???

Ombi langu, na ndio tegemeo lililobaki.

Wasipoeleweka, Kateni mti kabisa ------ nae atembee tu.

Wanajidai Eti Siri za serikali, Wizi Mtupu.

Hawa Jamaa ingekuwa China..........Malizia mwenyewe
 
Duh!! familia na nyumba inateketea mkuu wa kaya anapiga misele hajui, haoni na wala hasikii yanayotokea kwenye kaya yake je huyu mkuu wa kaya anastahili kuitwa BABA?
 
sijawahi kuona rais dhaifu kama jk,ila nahis lile tezi dume lilichangia kuwa dhaifu

Tezi dume kitu gani, Hii ni timing tu.

Mama mzazi anaanza kufanya tizi baada ya masaa 48 itakuwa Bush***, juzi juzi kaanza kusema hooo Uraisi kazi nzito baada ya kuona kimenuka ripoti PAC. Kwanza ni nani alipewa zile Bilions zilizoenda kwa Various People???

Kwa nn arudi Tar 29 nov baada ya Bunge kuahirishwa? Kwake hili jambo sio la muhimu kuwepo Nchini?

Hata aibu hawana hata kiugonjwa kidogo namna hiyo uende America?

Hakuna kurudi nyuma.
 
Nchi hii imekuwa inajiendesha automatic kwa miaka 10 sasa,kuna haja gani ya kumuonea mkulu aibu???hii kujifanya anaumwa ni zuga tu yupo states anakula kuku huku anjivalisha maguo ya hospital ili tuamini amelazwa.Toka lini mgonjwa akahamishiwa hotelini.wote huo usanii tu
 
GreaTthinkers,

Tumeshachoka kudanganywa, Tumeshachoka kupotezewa muda, Tumeshachoka kuibiwa.

Wanaingia mikataba mibovu ili baadae jasho letu waligawane

Mkataba gani Eti hata kama hawakutoa Umeme kwa Mwezi walipwe mil 4000 Tsh? Wakizalisha Mil 8000Tsh?

Kwanza kwa nini, bado hawako rumande hadi saivi? Kupewa mil 1600 Tsh Eti zawadi, umegawa nini kwa Ruge wewe?

Mikataba yote hii,https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/97126-maandamano-ya-amani-nchi-nzima.html

 • Nchi inadidimia,
 • madawa hakuna hospitali,
 • vijana wanakosa mikopo,
 • Wananchi wa Kigamboni wanalia,
Wapuuzi wachache Eti wanasema sio hela zetu,

 • Nani anakatwa kodi kulipa IPTL?
 • Nani kabebeshwa mkataba wa kihuni wa IPTL???

Ombi langu, na ndio tegemeo lililobaki.

Wasipoeleweka, Kateni mti kabisa ------ nae atembee tu.

Wanajidai Eti Siri za serikali, Wizi Mtupu.

Hawa Jamaa ingekuwa China..........Malizia mwenyewe

well said,
Hebu jaribu kuuliza wakati sisi wafanyakazi maskini wa nchi hii tunakatwa kodi katika kamshahara kadogo kulipa huo ushenzi wao waliofanya,je mishahara na posho zao zinakatwa kodi?iweje watu wagawiwe fedha za bure?kuna nini katika hili?bilion 1.6 ya kazi gani?angeenda kugawa kwa watoto yatima.
 
Correct,

Lipo jambo hapa, liko suala la kifisadi hapa tena linalindwa Dingi aka Mtalii. M

imi nasikia kichefu chefu hata nikisikia sauti zao.

Wanapita mtaani wanajimwambafy Eti Tumezubutu, tumeweza kumbe wizi mtupu
 
Muda ni Mwamuzi mwaminifu asiye na upendeleo, muda wao wa kuondoka umefika. Wanaondoka, kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake. Waache waruke ruke tu
 
Muda ni Mwamuzi mwaminifu asiye na upendeleo, muda wao wa kuondoka umefika. Wanaondoka, kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake. Waache waruke ruke tu

Hawa jamaa kama wakibaki basi nitaamini hii nchi hata Bata maji anaweza kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom