Kwenu Waandishi wa Habari na Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania...

Inasound kama ile story ya mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo...Halafu kuna kondoo wakadhani kwamba ni kondoo,akawatafuna wote!
 
It's dry season I'll try my best to go through your comments during the rain season and compare in which Seasom your affected the most ritz...

Wanabodi,

Kwanza napenda kutoa pole kwa wana familia na chama cha waandishi wa habari kwa msiba wa mwandishi mwenzao David Mwangosi, (RIP).

Limekuwa jambo la kawaida humu JF linapotokea tukio lolote la kisiasa au la kijamii ambalo linapingana na serikali iliyopo madarakani kuna kundi kubwa humu JF la makamanda na wanaharakati wamekuwa wakitoa lawama zao na kuhamasisha wenzao huku wao wakiwa wamejificha sehemu mbalimbali kupitia vifaa vyao kama Computers, Simu, iPad, iPod, Laptop.

Imefika muda sasa makamanda na wanaharakati kungia front line kwenye bettle kupambana na sio kubweka huku mmejificha na kutoa lawama
 
Wangekuwa hawabweki CCM na jeshi lao la mauaji wangeweweseka hivi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na mawazo yako.kweli ukombozi umekaribia hata weye?mungu mkubwa,tutafika
 
Congrats Ritz, for the first time ever...ila umekosea tuu kusema i pod nadhani ulitaka kusema i phone.
 
...Vita inapigwana katika maeneo mbali mbali siku hizi ikiwemo mitandaoni, na ndio sababu hata magamba imemwaga wapotoshaji chungu nzima hapa jamvini ili kujaribu kupotosha ukweli wa yale yanayojiri nchini.

Hata kule Misri, Tunisia na kwingineko mtandao ulisaidia sana katika kupashana habari na hatimaye kuangusha Serikali dhalimu pamoja na kuwa na vyombo vya dola vyenye silaha za kila aina zikiwemo ndege za kivita, vifaru, magari ya jeshi, mabomu na bunduki zenye uwezo mbali mbali.

Magamba inaihofia sana JF ndio maana wanajaribu sana kuipiga vita kila kukicha maana wanajua yanayoandikwa hapa yanasaidia sana katika kuwafumbua macho Watanzania ambao bado wapo usingizini na hivyo watakua chachu katika kuhakikisha ile ndoto ya magamba kutawala Tanzania milele kamwe haifikiwi.

Wangekuwa hawabweki CCM na jeshi lao la mauaji wangeweweseka hivi?
 
Wanabodi,

Kwanza napenda kutoa pole kwa wana familia na chama cha waandishi wa habari kwa msiba wa mwandishi mwenzao David Mwangosi, (RIP).

Limekuwa jambo la kawaida humu JF linapotokea tukio lolote la kisiasa au la kijamii ambalo linapingana na serikali iliyopo madarakani kuna kundi kubwa humu JF la makamanda na wanaharakati wamekuwa wakitoa lawama zao na kuhamasisha wenzao huku wao wakiwa wamejificha sehemu mbalimbali kupitia vifaa vyao kama Computers, Simu, iPad, iPod, Laptop.

Imefika muda sasa makamanda na wanaharakati kungia front line kwenye bettle kupambana na sio kubweka huku mmejificha na kutoa lawama

"You will never learn what Iam thinking, and those who boast more loudly that they know my thought, to such people I lie even more"!
 
Yeye anatetea mafisadi wenye nguvu halafu anajificha ndo ije kuwa wanaopinga mafisadi.Mpeni id zenu na kila kitu nyie mnaosapoti aliyoyasema,unaweza kuta ana hamu sana ya kuwajuwa na amekasirika kwamba hawezi.Poor guys!mnaingia mkenge kirahisi kweli.Issue ya watu kuweka id zao imeletwa na ambaye ni mtetezi wa status quo na anayejificha halafu mnafurahia.
 
"You will never learn what Iam thinking, and those who boast more loudly that they know my thought, to such people I lie even more"!
mkuu samahani kwa kutumia rude language tulipokwaruzana kule.Let's move forward.
 
Ni aibu toka JF ianzishwe hakuna kamanda yeyote aliwahi kuingia front hata kwenye maandamano zaidi ya kukukimbilia JF na kuulizia updates huku wakitoa vitisho.
 
Kwanza kwa Masikitiko makubwa natoa salamu zangu za Rambirambi kwa familia ya Marehemu Bwanaa Daudi Mwangosi, Channel Ten, Waandishi Wa Habari na Wapenda maendeleo wote. Mungu aipumzishe roho ya marehem mahali pema peponi.

Naanza kwa kuwaambia wanataaluma ya habari, Ni Heri umfadhili Punda atakubebea mizigo kuliko kufadhili fisadi.

Ni katika matukio mengi tu toka napopata akili ya kujua jema na baya waandishi mmekuwa mkilalamikiwa kupindisha ukweli au kuuficha kabisa. Na hilo nimelidhihirisha mwenyewe katika baadhi ya matukio niliyoyashuhudia LIVE tukioni. Kama lile Tarehe 5 Januari 2011 Arusha. (Sitorudia maelezo yake, asante to JF ukweli ulifahamika).

Hao mlokuwa mkiwasaidia either sababu

1. Mnapewa rushwa
2. Mnamlinda mwajiri wenu
3. Mnajipendekeza kwa mwajiri
Etc,
sasa wameanza kuwafanyia nyie yale walotufanyia na mkawasaidia kuyaficha.

"Bomu la Machozi", "kitu kizito" au "flying object" sasa limelenga na kumuua hapo hapo kipenzi chetu mwaandishi mwenzenu ndugu Daudi Mwangosi (R.I.P), kaa ukijua kwa ishara hiyo lolote lawezekana. Maana wanajua ninyi hamna guts za kufanya uchunguzi wala kuhoji, so wataweza ku-claim chochote kile apendacho kusema ndio kiliua au si ajabu hata ku-pin hii kesi kwa mmoja wenu.

Nguvu mlio nayo ni kubwa mpaka mkaitwa the "4th Estate" nyuma ya Executive(1st Estate),
Legislature (2nd estate) na Judiciary (3rd estate), mbele ya
Organised Crime (5th Estate).
Lakini ninyi kwa njaa au uoga mmekuwa wadogo mkawa dependants wa wadogo zenu the 5th Estate, mmeshindwa kujiamini na kujitegemea, hamuwezi kusema kweli. Ninyi wenyewe mnakatishana tamaa, msema kweli anatengwa.

Gazeti la MwanaHalisi limefungiwa mmekaa tu kimya, Jerry kashikishwa kesi mmekaa tu. Na sasa mwenzenu, Mtanzania mwenzetu kauwawa tena on field, mtafanyaje?

Je Mtakaa kimya upepo upite?

Je Mtakubali pesa muudanganye Umma?

Je Mtageuza kifo cha Daudi mtaji wa kupokea na kuomba rushwa a.k.a vibahasha?

Je sasa mtaona kama wakati umefika na kusimamia kweli na haki??

Sisi wananchi tunangoja kuona nini itakuwa reaction yenu, na je ina manufaa kwetu sisi na Taifa.

Msiogope, Tunachopigania leo ni kwa ajili ya maisha yetu na watoto wetu kesho. Wengi tutaumia, tutalemaa, tutafungwa na wengine kuuwawa lakini tusitishike tusonge mbele. Hata wazazi wako walijinyima ndio mana leo angalau unaweza hata kusoma hii post.

Watoto wanaozaliwa kwa siku ni zaidi ya mara mia ya risasi zinazotengenezwa kwa siku, Hatutaisha wote, kuna watakaobaki kuelezea Stori hizi za ukombozi.

Rest In Peace Daudi Mwangosi.

Mapolisi wa TZ, Nauliza Hivi Daudimwangosi alikuwa na bastola???????, au?????????, Virungu tu havikumtosha mpaka mkaamua kumrestisha in peace??????????,Polisi wa Tanzania 85% ya wale waliomaliza F4 waliondoka na division 0 au Division 4 ya points 30 na kuendelea na wengi walitumia vyeti vyetu watanzania tulio wengi ili kuupata huo upolisi ,ndiyo maana wengi hata hawatumii common sense ,wanatumia nguvu nyingi kuliko maarifa ,hata pale panapohitaji advocacy wao minguvu mingi,Haya mauaji yalipangwa maksudi ili kuwatisha CHADEMA. Hii ni aibu kwa serikali dhalimu ya CCM,si uliona yule poalisi msomi mwenye nyota 3 alijitahidi kumwokoa Hayati Mwangosi lakini yaliyopangwa na Serikali ya CCM ilikuwa sharti yatimie, Hata mungu hatakuwa pamoja na CCM ambao wako pembeni wakifurahia na kushangilia misheni yao ya kutoa roho za watu ikikamilika, mambo yote 2015 patakuwa hapatoshi,polisi wa CCM aandaeni na agizeni makontena ya risasi,bora mtumalize kabisa walipa kodi maskini walalahoi wa TZ,then mtawale mawe na visiki.Laana lazima itakuwa upande wenu na serikali dhalimu iliyofilisika ya Sisiemu.
A%20S-devil1.gif
 
Ni muda muafaka sasa kwa waandishi wa habari kuacha kuandika habari za serikali hususani wizara ya mambo ya ndani kwa mauaji yanayotekelezwa na polisi na wizara ya habari iliyolifungia gazeti la Mwanahalisi kwa kuandka habari ya ukweli kuhusu waliomteka Dr. Ulimboka. Kwa hili waandishi wahabari waungane na kuacha ubinafsi wao. Sijui ni kwa nini hadi leo hawajaacha kufanya hivyo. Kitendo cha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa peke yake kilistahili kuwatia hasira wanahabari na kuacha kuandika habari za wizara husika. Sasa kuna hili la kuuawa kwa Daudi Mwangosi. Masuala yote mawili yaunganishwe kama sababu za kuacha kuandika habari za serikali. Ni matumaini yangu kuwa wanahabari na jukwaa la wahariri wataacha ubinafsi na kuungana kutetea tasnia ya habari na pia kushiriki katika kukataa ukandamizaji na mauaji yanayofanywa na vyombo vya serikali
 
Naye katibu wa waandishi anasema habari za polisi ni muhimu sana katika jamii hivyo watakaa na kujadili kuwa wafanyaje ila hawawezi kusema hawataandika hizo habari kwa sasa. Hivyo ni wtu ambao wanatafuta umaarufu kwa gharama ndogo sana.
 
Kama amesema hivyo ndiyo ubinafsi wenyewe ninaosema. Sijui wamenunuliwa shilingi ngapi?
 
Naye katibu wa waandishi anasema habari za polisi ni muhimu sana katika jamii hivyo watakaa na kujadili kuwa wafanyaje ila hawawezi kusema hawataandika hizo habari kwa sasa. Hivyo ni wtu ambao wanatafuta umaarufu kwa gharama ndogo sana.
Nahisi hata wahariri wa JF wamenunuliwa maana habari inayotakiwa ikae peke yake isomwe na kuonwa wao wanaificha. Sijui wahariri wa JF wamenunuliwa shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom