Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Kwenu nyie wana JF hususan mlioko kwenye mahusiano ya urafiki wa kimapenzi na ndoa na ambao ni wadau wakubwa wa MMU, je mwenzako anajua kama uko hapa? Anajua jina utumialo? Na wewe je unajua kama yeye yupo na jina alitumialo? Je kama ana vivuli vingi (multiple user IDs) unavijua vyote?