Kwenu nyie....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,008
112,668
Kwenu nyie wana JF hususan mlioko kwenye mahusiano ya urafiki wa kimapenzi na ndoa na ambao ni wadau wakubwa wa MMU, je mwenzako anajua kama uko hapa? Anajua jina utumialo? Na wewe je unajua kama yeye yupo na jina alitumialo? Je kama ana vivuli vingi (multiple user IDs) unavijua vyote?
 
none of the above
 
Acha hio kitu mpwa, maana kuna ndoa na relationships kibao zaweza kuvunjika kutokana na confession ninazozishuhudia humu jamvini zihusuzo yale mambo yetu yalee... mfano ni mm mwenyewe nilipost issue ya mke wa mtu kunitaka, yes sikukubaliana nae but angejua ishu ya namna hio just kujua tu, unadhani amani ingekuwepo home? mi nadhani tubaki na ID zetu privately hadi hapo itakapotokea siku mkajikuta mnachangia ze same mada ya majambozi...
 
Je wewe ukija kugundua kuwa naye yumo na ana flirt na mtu au watu hadi kuitana "mpenzi", "laaziz", "darling", etc. utalichukuliaje hilo?
 
Labda swali la msingi ni hili; kuna wale wapwa wangu waliopo jukwaani kwa ajili ya kitafuta vidumu, let's say umem-PM fulani mkaweka na miadi mkaenda kukutana, just imagine unafika unaekutana nae ni mkeo au mumeo?! utafanyeje? hizi forums zina miujiza hizi, so sometimes naona kama vile bora kuwa muwazi but ukifikiria upande wa pili unaona heri kuuchuna tu!!
 
walahi akijua hii ID,ndio siku atakayonipa talaka...anaweza asiamini ndio mimi ananiona kila siku.....
 
mhh akijua patachimbika....thou swaga na uandsh wangu anaujua so i kp on kukataa isnt me....haha hah kaz kwl kweeeeli!!!
 
Je wewe ukija kugundua kuwa naye yumo na ana flirt na mtu au watu hadi kuitana "mpenzi", "laaziz", "darling", etc. utalichukuliaje hilo?

Ntamsifia saaana, kumbe najua kutunza hadi akina Ambrose wananipongeza kwa kumuita my swthrt lotion n.k, au wewe ungefanyeje sasa? upigane? aah haina maana bana muache apate ujuzi kwingine!!
 
Umeona eeh? Ni kasheshe si mchezo. Je wewe ukijua yeye yupo humu na ni mdau mkubwa sana wa MMU utafanyejea?
 
Hapa jamvini kila mtu ana-reveal vile jinsi alivyo, yaani ule utu wake wa ndani! nikiwa home kuna baadhi ya ishu ninaweza kupretend kua mkali lakini wapi bana ukija hapaa aaah raahaaa, si unakumbuka ile thread ya akina dada na makufuli?? sasa kitu kama ile waweza ijadili wapi tena kama sio hapa kitaani?
 
Ntamsifia saaana, kumbe najua kutunza hadi akina Ambrose wananipongeza kwa kumuita my swthrt lotion n.k, au wewe ungefanyeje sasa? upigane? aah haina maana bana muache apate ujuzi kwingine!!

Hiyo laissez-faire attitude ni rahisi sana kusema lakini ikitokea mwenzaka akawa anaandikiana PM na mtu mwingine, wanaenda chatroom, n.k. sidhani kama utakuwa na amani. Ni mtazamo tu.
 
Umeona eeh? Ni kasheshe si mchezo. Je wewe ukijua yeye yupo humu na ni mdau mkubwa sana wa MMU utafanyejea?
ahh ni poa tu mbona ..haina noma
here its freewheel...jitupe upendavyo....nimastor tu haina madhara wala nion
kuja mmu si makosa makosa km anayatenda..km anatoa ushuhuda tu na nikimchek anayoyasema si ya kweli ni changamsha baraza la jf ahhh haina mbaya ni pooooooooooooooooooooooooooa tu
ntajichukulia mfano mimi mwenyewe.....apa ni ujanja wa keybod tu maneno meeeeeeeeengh ukija kumit na uyo mtu anayeandika madubwana manene ahh utachoka nakuambia hafananiii na wala si mtendaji.....SO FRESH TU NAJUA AKIJA APA NI KATIKA KURELEASE TENSION NA PRESHA ZA VMEO JOB....
 
Kevin hebu angalia hii, if u're married jaribu kukumbuka umri wa mkeo na baadhi ya majina ambayo amekua akipenda sana kujiita au kuitwa wawezakuta, ROSE1980 ndo shemeji yetu una chati nae hapa bila kujua, labda bado uko kwa ofisi na yy yuko kwa home....kaaazi kweli kweli
 
Je wewe ukija kugundua kuwa naye yumo na ana flirt na mtu au watu hadi kuitana "mpenzi", "laaziz", "darling", etc. utalichukuliaje hilo?
kuitana mpz tu ni kosa ?
waitane majina yote km hawafanyi wala hawamit tatizo nin?
nomino si vitenzi ......waitane tu majina yote ya paradiso mpk ya eden si issue
lakin ntaitaj kujua wnachat nini uko chemba+paswod nipewe....ilo tu
 
Kevin hebu angalia hii, if u're married jaribu kukumbuka umri wa mkeo na baadhi ya majina ambayo amekua akipenda sana kujiita au kuitwa wawezakuta, ROSE1980 ndo shemeji yetu una chati nae hapa bila kujua, labda bado uko kwa ofisi na yy yuko kwa home....kaaazi kweli kweli

ninachojua mimi haya ma social networking websites yanaharibu sana mahusiano ya watu.

Nwayz, nimeona niulize tu nione misimamo na maoni ya wadau
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom