msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Hata siwaelewi ninyi wana JF, maana kumezuka siredi humu zikilinganisha miji na miundombinu au miradi mikubwa kati ya Tanzania na Kenya. Katika Miradi yote hiyo au miundombinu hii ambayo kwa namna moja au nyingine Tanzania tumeonekana ''kushinda'' maana kiukweli tuko mbali sana. Labda niseme tu siredi hizi zimesaidia kwa namana moja au nyingine watu kujua tulipofikia kimandeleo, tuko mbali ati!! sasa swali langu ni hili mnawezaje kumtenganisha JK na miradi hii au maendeleo haya mnayojivunia? swali langui ni hilo tu walelo!