Natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k

VonLee

Member
Jul 19, 2020
17
15
Habarini na poleni na majukumu ya kujenga taifa.

Ndugu zangu,natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k, jamani ndugu zangu mafundi natafuta fundi yoyote wa kunisaidia ujuzi. Nipo tayari jamani nipo mbezi beach.

Mwenye kuguswa na hii namba yangu ni 0684645026.
Ahsanteni
 
Habarini na poleni na majukumu ya kujenga taifa,
Ndugu zangu,natamani kujifunza ufundi wa aina yoyote kama finishing n.k, jamani ndugu zangu mafundi natafuta fundi yoyote wa kunisahidia ujuzi. Nipo tayari jamani nipo mbezi beach.
Mwenye kuguswa na hisi namba yangu ni 0684645026.
Ahsanteni
Tatizo hamuwezi kuvumilia. Unakuja leo kesho unataka kulipwa.matokeo yake hujui vya kutosha.
Mi sipo Dar nilishahama huko nipo mkoani.
 
Back
Top Bottom