gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Ukweli ni kwamba matumiz ya choo huchangis kwa asilimia kubwa sana kuenea kwa magonjwa ya kuhara.
Nchi zinazoendelea ndio Bado tunahangaiks na ishu za kunawa mikono na matumizi sahihi ya vyoo.
Kwa kawaida kwa hali ya hewa ya tropical countries matumiz ya maji vyoon huwa ni Bora zaidi kuliko matumiz ya karatasi. Ubora huu huja kwasabb mtu hujiosha vyema baada ya haja na kubaki msafi bila harufu.ns baada ya hapo mtu huyu anatakiwa akutane na sabuni na maji ili anaweza mikono vzr.
Gharama zinakuwa kubwa sana hasa za sabuni na maji lkn hatuna budi kuku baliana na Hali hii kwan gharama za kujitibia na nguvu plus muda nu kubwa zaidi