Kuna jamaa mmoja alikuwa amebebwa kinguvu kupelekwa milembe baada kuonekana ni kichaa,sasa jamaa akawa anajaribu kujitetea: Jamaa: jaman naomba muelewe kuwa mimi sio kichaa kwani naelewa mambo mengi kwa mfano Obama ni raisi wa marekani, simba na yanga ni watani wa jadi hata hesabu ninazijua mfano 3 mara 3 ni tisa. Wananchi: kweli wewe ni kichaa unaongea mambo mengi tena ya ovyo