kweli waweza kuwa na pesa lakini ukawamshamba kabisa

mwambadog

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
1,736
1,446
hivi huyu makonda-kita anaakili?

umesaidiwa kufika hapo umeshindwa kuficha kitu kidogo hicho?

ungetengeneza certificate ya kubadili jina basi yote haya yasingetokea, cheki sasa hulali usiku unawinda wabaya wako kama digidigi.

unamuaibisha raisi wetu bwana.....unabaati mzee mvumilivu anakupa muda ujipime na kujitasimini-kakueshimu ili umrudishie heshima kama anavyo kuheshimu....jiongeze bas

umetuhariba vijana twaonekana wapuuzii tu kama wewe
 
Back
Top Bottom