Kweli watz sisi bado sanaaaaaaaaa kuweza kufanya mabadiliko! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli watz sisi bado sanaaaaaaaaa kuweza kufanya mabadiliko!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by All TRUTH, Nov 23, 2011.

 1. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 280
  Ivi huyu deusi na jukwaa lake la katiba kufanya maelewano na hao mapolisi na kusitisha maandamano ana maana gani? Ni vema hata asingesema na kutaja hiyo tarehe ya mandamano maana yeye ndo analeta matatizo watu sisi tulishajiandaa kwa tukio hilo.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  tupe taarifa kamili mkuu nini kimetokea? watu tunajiandaa kwa maandamano ya J1
   
Loading...