Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli waTanzania wamechoka. Nchi imemwagiwa petroli. (MWANZA)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Feb 25, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  its a good start.....
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 848
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Yeah! Niliona ITV jana nikasisimka sana!
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,550
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Mpango uendelee kwa nchi nzima sasa,mkishindwa kuitumia nafasi hii ni vigumu kuipata tena.
   
 5. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr slaa na wapiganaji wetu leo(sasa hv) wameongoza maandamano makubwa hapa mjini geita,kweli wtz wamechoka ufisadi,hamasa iliyopo we acha tu ni noma.PEOPLES PR.....
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Asante kwa taarifa...
  Support hii maneno kwa picha ukiweza.
   
 7. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Safii sana. Weka na picha basi Mkuu
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  mhh hii ratiba nilikuwa sina......leo wako geita?!!!!
   
 9. markach

  markach Senior Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hebu weka picha
   
 10. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hii ni dalili nzuri. Kwa kweli hali imekuwa mbaya. Unajua inapofikia wakati mtu unaacha familia yako bila chochote unakuwa tayari kwa lolote. Sasa kama familia yangu itakuwa kwa njaa je kuna sababu gani ya kuendelea kuwaogopa watu? Wamesababisha wenyewe sasa wataona.
   
 11. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nadhani wataelekea na Musoma/Shinyanga, ahsante kwa info.
   
 12. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nini faida ya MAANDAMANO haya, nchi hii ni maskini watanzania wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii na si maandamano.
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Endlea kutujuza mkuu, bila kusahau kuweka picha
   
 14. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nipo kwa mobile picha baadae
   
 15. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kumekucha watu melishaamka, bg up watu wa Mwanza naona mmekuwa mfano wa kuigwa people's power!
   
 16. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaeuliza nn faida ya maandamano angekuja akashuhudia huu umati halafu atajiƶngeza mwenye
   
 17. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nafarijika sana pindi raia wanapojua majukumu ktk taifa lao juu ya viongozi wao wanawaongoza. Ninachosubiria ni kuwawajibisha pindi wanapoleta uozo ktk uongozi.
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nchi hii,wasiofanya kaz kwa bidii ni rais na watendaj wake,but raia wanafanya kaz kwa bidii,ndo maana serikali inajgamba kuwalipa dowans coz inatoa pesa kwa raia wanaofanyakaz kwa bdii
   
 19. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Muulize JK.Watu wote wanaoandamana duniani wajina kasoro wewe tu. Waulize UVCCM waliposema wataandamana walitarajia kupata nini?
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na hiyo hali haita'undergo reversal change...Ndo basi tena!
   
Loading...