Kweli wanawake pamoja na kudai usawa mnakubali kuwa na siku moja ndani ya Mwaka Mzima?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Kweli bado sana, Mpaka kuupata usawa mnao utaka itachukua miaka 200,000,000. Sababu kwa Mwaka mnayo Moja, mtakuja kuongeza nyingine ziwe mbili kwa Mwaka, Mpaka zifikie 150 na ushee hivi za nusu mwaka sio leo, Kama mnabisha? Semeni siku ya wanaume ipo? kama haipo mjue siku zote ni zawanaume kasoro hiyo Moja kwa Mwaka,
Poleni sana Wanawake,
 
Mkuu matatizo yote yamepewa siku.. Siku ya wanawake... Siku ya ukimwi.. Siku ya kifua kikuu.. Nk.. Tafakari chukua hatua.
 
Back
Top Bottom