Kweli wanaume mtakula kwa tabu..ili maandiko yatimie

thanks dear, niko na twin wako hapa tunapata banta............. achana nao hao, wanchangamsha jamvi tu................ hahah.....................

dah twin, hii ya bestlady imekaa vibaya...sasa sisi tunahaingaika nini kumbe twaweza kulala home na huduma ikaletwa tu?

BTW:mbona mapema?au chapa ng'ombe ipo mujini?

chapa ng'ombe alitoa order niwahi home siku ile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom