Kweli wanaume mtakula kwa tabu..ili maandiko yatimie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli wanaume mtakula kwa tabu..ili maandiko yatimie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FirstLady1, Mar 19, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine huwa nikiwafikiria nawahurumia sana wanaume poleni
  Imagine umemaliza chuo au umeanza maisha yako kipato chako kwa mwezi laki nne/tano…………….milioni haifiki
  Wewe huyo utatakiwa utafute nyumba upange uanze maisha
  Baada ya hapo ..
  *Uwaze kununua kiwanja ...hiyo pesa
  *Ujenge nyumba
  *Ununue gari
  *Uwe na mke ,apate chakula
  avae vizuri kama wengine,aende saloon
  asikose pesa ya kutumia
  *Utunze wanao ....
  * wakati mwingine usaidie familia pande
  zote mbili

  Naona huwa mnaumiza sana vichwa vyenu nitoke vip?
  I can’t imagine kaka zangu ..
  Huwa mnachanganinyikiwa inapofikia swala la kuanza maisha ???????
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Vizuri kama angalau unaweza kuyatambua haya! Uanaume sio 'kengele' tu:)!
   
 3. gwambala

  gwambala Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli kwa style hiyo nami nagundua kuwa mimi mwanaume ndo ninalisha dunia aseeee!
   
 4. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  ah uanaume ni inshu,we unafikiri kwanini wengine wanaamua kuwa mashoga
   
 5. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  First Lady umetoa point kiasi kwamba, ningekuwa sijao au hujaolewa ninadhani wewe ungenifaa sana. Wanaume kuumiza vichwa si jambo la kuficha. Jaribu kufanya utafiti wa kichinini uone kati ya wanaume na wanawake wanaokufa zaini ni akina nani na kwa nini? Mojawapo ni hayo uliyaona juu ya maisha.
   
 6. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  1Lady,
  Utachanganyikiwa kama hutatambua kuanza maisha ni wajibu, kuchanganyikiwa kunakuja kama utataka kuyaanza maisha kama fulani alivyoyaanza na hivyo vitu vizuri ulivyovitaja kama utataka uvipate kwa siku moja.
  Hata hivyo nakupongeza kwa kufahamu jinsi wanaume tulivyo mhimili wa wanawake, bila shaka Mumeo ana bahati sana kama unalitambua hili kwa vitendo, Furahidai njema.
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Na mwanamke naye anatabu kubwa sana ngoja nitakuja na evidence soon.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Ni kweli na taabu nyingine kubwa ni kuachwa na girl friend wako wa chuo kwa kigezo cha kutokuwa na future
   
 9. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mi natofautiana na wewe mama salma K. J. F

  wanaume tunatanua sana........ kwa taarifa yako hayo unayoita tabu tunayainjoi ile mbaya...... hapiness is found in doing, not merely in possessing................. mi binafsi huwa nawahurumia wanawake.......... kwa sababu wakati sisi yunaenjoy kazi za mikon yetu nyinyi mnahangaika kutufurahisha na kutuvumilia ili nanyi mfaidi japo kidogo........... (with the exception ya wachache waliomamua nao kujitosa huko kwenye kupigika).............. nakuhakikishia ukikuta mwanaume analialia eti ana majukumu magumu utie akili yako kichwani sawasawa......... kwa kweli unaakiwa ku-question his manhood........

  the bottomline ni kuwa the actua design is devine so it is accurate and excellent................ ukijaribu sijui trial and error ku-adjust hiyo scheme of arrangements........... ndio mnaleta frustruations hizi mnazoziona arround................ please FL1 dont misslead people......... wanaume tunatanua sio siri................
   
 10. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  sasa hiyo inakutesa vipi mkuu................. stand up and rule/direct the world............ the world is waiting for your leadership na wewe unalialia na hao mabinti wasio na future????....... usituangushe bwana...........
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Evidence  "My son, I feel you have learned your lesson and I will be happy to change things back to the way they were. You'll just have to wait NINE MONTHS,though. You gotpregnant last night."

   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Now this is the AK I know.
  sio yule aliyetekwa akili na BHT, PEARL, FL1,PRETA
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  SMU natambua hili pale ninapoona ubavu wangu uko busy kutafuta maisha ..
  Mawazo yake yote kila siku
  nataka familia yangu iwe hivi,iwe vile mradi kila kukicha yeye ni kuumiza kichwa.
  Poleni sana !
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  nimesoma ulipoandikia chaki ujue........
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  festilediwani UMEGONGA NYUNDO KWELI KWELI!nadhani leo nitakunywa konyagi just for your thread
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160

  hahaaaa
  shem enjoy your wikend, nashangaa wengine wanadai tumekuteka, cheki mapoint ulivomwaga
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  tehe tehe!! usimwambie mtu!!
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  thanx Kakuruvi
  Nalitambua hili ndio maana nikajihisi kuwahurumia ,,,
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
   
Loading...