Kweli Usalama wa Raia upo............

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Tumeona yaliyotokea Igunga kwa matukio ya wananchi kuuwawa kwa kuwa wao eidha ni CDM AU ni maGAmba lakini
lazima tukubaliane kwamba kabla ya mtu kuwa CDM Au maGAmba ni lazima kwanza awe Mtanzania mwenye haki za msingi za kibinadamu
sasa watu wanapouawa kutokana na itikadi au ushabiki wa vyama kweli kuna usalama wa Raia na Mali zao hapa...................

Wote wapumzike kwa amani
damu zao hazitapotea kamwe zitazaa matunda
Tz bila magamba inawezekana.......................
 
Tuone sasa wana Bakwata na polisi wanafanya kazi na kutoa matamko ya kukemea hayo mauwaji bila kujali nani ni mtuhumiwa ingawa dalili zinaonesha chama fulani kimehusika na mauwaji hayo
 
Tuone sasa wana Bakwata na polisi wanafanya kazi na kutoa matamko ya kukemea hayo mauwaji bila kujali nani ni mtuhumiwa ingawa dalili zinaonesha chama fulani kimehusika na mauwaji hayo

Mkuu Mashi...hakuna tamko lolote la Bakwata maana waliouawa ni wafuasi,wanachama na wapenzi wa chama kisichopendwa na Bakwata.
 
Tuone sasa wana Bakwata na polisi wanafanya kazi na kutoa matamko ya kukemea hayo mauwaji bila kujali nani ni mtuhumiwa ingawa dalili zinaonesha chama fulani kimehusika na mauwaji hayo

Bakwata uwa inatoa tamko kwa mambo uharo tu,hawana jeuri kutoa matamko kwenye mambo makini kama hayo....
 
Back
Top Bottom