kweli udom awaja waandaa watu wao na sisi tunaenda kuwasindikiza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kweli udom awaja waandaa watu wao na sisi tunaenda kuwasindikiza?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by POLITE MAN, Oct 14, 2011.

 1. P

  POLITE MAN Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  niambieni wanajamii ni kweli watakua siliazi ukilinganisha na idadi ya watu walioomba
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  At the moment do what's due
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Unajua UDOM ina watawala wa ajabu sana,na huyu HR wao natilia shaka uwezo wake,kilichofanyika UDOM ni kuchukua majina ya waliomba kazi bila kuangalia kigezo kingine chochote,sasa tazama mfano huu mdogo..kwenye position ya Administrative officer wanahitaji watu 12 but applications are more than 2000 tazama hii ratio ilivyo kuwa kituko...Nadhani wangeweza kuwachuja watu kwa kutumia vitu kama vyeti,GPA,field of study maana kuna watu wa IT watakuwa nao wamo,watu ni vichwa ngumu.Maana kwa ratio hii ya 12 kwa 2000 ni hatari,hao kumi na wawili watawekwa na VC,DVCs,HR,Deans,Heads of departments nk...Ni kweli ukiwa na wide choice tunasema kwamba una nafasi ya kupata competent applicant but is not this way.....Hii ni aibu hata kwa huyu HR wa hiki chuo sijui kasoma wapi masuala ya Human Resource management.Otherwise there is no need kukata tamaa,but ningekuwa ni mimi ningekwambia usiende ni siasa hizi.........
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Usipoteze muda wako...labda kama una mchongo.
   
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  only83 unaelewa ufisadi upo kila idara now a day kuitwa watu 2000 kati ya 12 ni ufisadi. Lengo hapo ni kuingiza pesa kwa kuwafanyisha watu writing interview na kupata pesa ya uandaaji mitihan,usimamizi,usahishaji na kuchagua shortlist yao wote uwo ni mlolongo wa kupata pesa wataitaje watu 50 wakati wanahtaji pesa nyingi za wizi.ni lazma waite watu weng ili kazi ionekane pevu.kuna kipind nss walikuwa wanataka watu 3 tuliofanya interview tulikuwa zaid ya 80
   
 6. F

  Florian Kayusi Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ah! hawa viongozi wetu wa juu nao hamnazo, kwani uongozi wa UDOM unajulikana kuwa UMEOZA KABISAAA kwni kuna wakati secretari alikuwa analipwa kuliko mwalimu hadi ukatokea mgomo, that means walikuwa wakifisadi kuanzia JUU
   
Loading...