Kweli tumetoka mbali enzi hizo na vocha zetu

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,371
29,937
1475731317094.jpg
 
Kama kuna kipind ma kampun ya simu yalipata faida kubwa ilikua muda wa hzo vocha aisee

Kwa kweli ilikuwa biashara nzuri. Nilikuwa natoka Tanga nazifata Dar - Shivacom. Sasa hivi makampuni ya sim yameamua kutuibia tu vimia mia vyetu
 
Kwa kweli ilikuwa biashara nzuri. Nilikuwa natoka Tanga nazifata Dar - Shivacom. Sasa hivi makampuni ya sim yameamua kutuibia tu vimia mia vyetu
Zamani hiyo ndio nilikuwa main business, lakin kwa sasa hiyo ni biashara ndogo sana kwao.
Wako kwenye miamala ya Pesa na Internet.
 
yah sidhan kama its profitable kama kipindi kile or may b ni tsh mia we cant see it na customer wako wengi so still wanatengeneza faida as well.
Kwa kweli ilikuwa biashara nzuri. Nilikuwa natoka Tanga nazifata Dar - Shivacom. Sasa hivi makampuni ya sim yameamua kutuibia tu vimia mia vyetu
 
Aisee, nilikua nikununua dola tano nampigia mchuchu simu,halafu yeye alikua hana simu ya mkononi, nategea kumtafuta kwa land line, ukipiga unaulizia flani yupo? wakiamua kukuambia yupo basi mnaongea, wakikubania ndio ntolee hiyo.
 
Back
Top Bottom