Kweli Tumeshtushwa na Shule ya Machala Yenye Mwalimu 1 Aliyefaulisha Wanafunzi Wote?

NAMUOMBA hapa jamvini mtela mwampamba,sixgates,lizaboni.nape nauye na wale wote wanaomtetea JK na safari zake zaidi ya 380 tangu awe rais,jk na ccm wenzako hakika mtalaaniwa nyinyi na vizazi vyenu maana mtu anapo shinda kuimarisha elimu ana nia mbaya na kizazi chako chote,na sisi tunawaombea mpate laana enyi mafisadi mnaosababisha ndugu zetu wasipate elimu bora
 
Ndo najiuliza hapa,manae nina mpango wa kurudi.Vipi mkuu wewe unaona pouwa tu?Ama umeachana na bongo moja kwa moja?

Hapana, sioni poa hata kidogo na wala sijaachana na bongo na siwezi kuachana nayo.

Kila mwaka mimi naenda bongo. Kama si mara moja kwa mwaka basi mara mbili.

Ninachoweza kukwambia ni kwamba, mabadiliko tuyatamaniyo ni magumu sana kuwa realized. Humu tunaweza kuandika maneno ya kila aina lakini unapokuwa on the ground na kujionea jinsi hali ilivyo, namna ambavyo mambo yanaendeshwa, na kadhalika, well, what I can say is that is a horse of a different color.
 
Nakubaliana na wewe,ndo maana unakuta watu wanajiingiza kwenye siasa.Lakini still mabadiliko ni kidogo sana.Na wengine solution wanayoifikia ni kusomesha watoto wao nje ya nchi.

Ukiyapigia kelele haya unaonekana adui wa nchi.Mkuu mimi nataka nikae kwa mda nijaribu kuplay my part.Kuridhika na haya itakuwa shida,otherwise ntaachana na bongo.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Haya ni matunda ya utawala wa ccm na serikali yao maisha bora kwa kila mtanzania na kwenye umasikini sana ujinga sana ndipo ccm inashinda kwa kishindo shule za namna hizo ziko nyingi hasa jimbo la singida magharbi kwa mbunge wa ccm mohamedi misanga kata za mlandala mwaru irishya na sepuka kwao misanga na jimbo la iramba magharibi kwa mwigulu chemba
 
Mwanakijiji,

Wakistaajabu ya Musa.........

St Jude Primary School- Arusha

school31.jpg computer lesson 1.jpg school03.jpg

Martin Luther Primary School- Dodoma

Photo0588_123_101_80.jpg DSC00936_123_101_80.jpg comptlab.jpg
 
Back
Top Bottom