Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,603
2,000
Kuna vitu mnajifanya hamvioni. CCM inajaribu kujibadilisha na wanachujana wenyewe kwa wenyewe wakati CDM inajaribu kujidanganya kwamba toka EL aingie na kundi lake na Slaa kuondoka bado wapo imara kama zamani.
Uone nini bila kuchukuwa hatua kwa wahusika ?!. Je leo waziri, kamishina au hata katibu mkuu wa wizara anaweza kuingia mkataba wa madini, Gas, mafuta etc bila ridhaa ya Rais ?! HAIWEZEKANI

Hivyo hata mikataba inayoiibia nchi mpaka sasa ilikuwa na mibaraka ya X Presidents . Wanasalimikaje je.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,318
2,000
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?
Wanaishiaga kumsema LOWASA pekee.... NA MAHAKAMA YA MAFISADI IMEUNDWA LAKINI KIMYAAA

Yaani nikiwasikiaga wanaposema kuwa NCHI IMEIBIWA VYA KUTOSHA... unaweza dhani walioba wote WAMEKUFA, WAMEFUNGWA AU WAMEKIMBIA NCHI... Kumbe wamo humu humu wanadunda na tena wengine wanapanda vyeo tu...

Kuna mbunge alishawahi sema... HAIWEZEKANI KWENYE KILA KASHFA MTU MMOJA ANATAJWA TU NA HAKUNA LIFANYWALO JUU YAKE...

WENGINE WALIRUDISHA ZA EPA KIMYA KIMYA ETI WAKASAMEHEWA.....

Waliokwapua ECSROW, wale wa masandarusi, NI SIRI YAO HADI LEO... UNAWEZA UKADHANI RUGEMALILA NA SETH ndo pekee wameiba...

Bora wakae tu kimya
 
3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
4,701
2,000
Kwenye akili yao, vyama vya upinzani viko tu kwa kugeresha ili kupewa misaada kwa kuambiwa tunafuata demokrasia. Lakini ndani ya mioyo yao hawaamini kwamba kuna upinzani.
Jibu swali.. hao waliotuchezea na kutuibia sana ni akina nani?? punguza nyegezi
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,318
2,000
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?
Si wanakimbilia chadema, huwajui na chadema ilikuwa inawaita mafisadi.

Nikukumbushe kwa video?
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,379
2,000
Mkuu hili ni swali zuri sana,hata mimi nimeliuliza mara nyingi,lakini hakuna majibu.Ni kama nchi haina mwenyewe hivi,kila mtu yuko kimya,hayatuhusu na kila tunaendelea na hamsini zetu.Watu hawa wapo katikati yetu,tunakula nao,tunawaona na wanakula butter.Sasa kwa nini wengine wasifisidi?Tabia hii ya kulindana itaisha lini sijui,maana hata JPM pamoja na kumsifu kote na ukali wake wote,naye anayo.Wapo waliouza madini yetu na viwanda vyetu kwa bei poa na ya kutupa,lakini tumeambiwa eti tuwaache wapumzike.Kweli jamani?Hapana, inauma sana.
Anajijua na yeye ni wale wale.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
35,054
2,000
ina maana awamu zilizopita ndizo zimetupapasa hivi?? Je awamu hizo ziliongozwa na chama kipi?
Acha kuhusu chama kipi, huyo kiranja anayeongoza kauli hizo alikuwepo humo kama waziri mwandamizi miaka 10 awamu ya tatu na miaka 10 awamu ya Nne. Ila akiongea utadhani alikuwa anaishi Msumbiji au Chama chake ndio kimeundwa juzi.
Ulaghai ulaghai mtupu tena bila ya aibumachoni kwawatu.
 
Mra Eliphas

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
263
250
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?
Asante sana ndugu, majizi waliotuchezea na kutucheleweshea maendeleo ni hao hao maccm. Yeye aliuza nyumba za serikali kwa bei che, na hata kuwanunulia ndugu zake, je hapo hakuchezea watanzania? Hypocrite.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom