Kweli tff ni [tanzania football fitina] hasa huyu mzee wa saspenda'z noma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli tff ni [tanzania football fitina] hasa huyu mzee wa saspenda'z noma!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Aug 16, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Jamani hivi hili shirikisho la mpira wa mguu Tanzania{TFF}lina nia dhabiti ya kuendeleza soka la nchi hii?,mbona limekuwa ndio chanzo cha fitna, kuonyeshana ubabe,na hasa club mbili za simba na yanga! huyu anasema hivi ,tff anasema hivi,utaona na huyu anamwambia utaona!Mi nadhani TFF,wako kimasilahi zaidi na hayo maslahi yao ni kwa simba na yanga ndio maana club hizi mbili zinakuwa na kiburi,wanajua watafanywa nini?na kwa staili hii mtaniambia soka la nchi hii halitakuja kukua hata siku moja,na hata hivi vilabu vya AZAMU na AFRICA LIONE,ambavyo vinaonekana vina mipango mizuri havitaweza kufanikiwa mbele ya hii staili ya TFF{Chini ya kamati ya ufundi ya MZEE WA SASPENDA's!]Na ona tofauti ya uongozi wa tenga na ule wa Tyson{Ndolanga} ni kutokuwepo vurugu tu,kwani kipindi kile serikali ilikuwa haitoi msaada kwenye timu ya taifa,angalia sasa kila kitu wanapewa wamefanya nini cha maana?WACHAWI WA SOKA LETU NI UYANGA,USIMBA WAKIONGOZWA NA TANZANIA FOOTBALL FITINA[TFF],Na ndio maana hata sasa timu ya taifa imeshakosa mvuto tena.Inatia uchungu yaani hii nchi bwana kila mahala ni uhuni tu.MI nina hasila za hawa EWURA[EBU-WAPOTEZEE-ULE-RAHA],kutufanya mandondocha watu na akili zutu,kulikuwa na haja gani ya kujitapa ohoo bei ishuke!TAFAKARI[​IMG]
   
Loading...