Elections 2010 Kweli tarime kiboko!

Mpiganaji tz

Member
Jul 22, 2010
21
0
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!

msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:

'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'

swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
 
Hapa NEC kama vile wamemlazimisha Punda kunywa maji kitakacho tokea hapo sijui!

Na huyo Nyangwine kama CCM wanampenda wampe ulinzi kama wa rais hapo Tarime lasivyo atajuuuuuuuuuuuuuuuta kugombea
 
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!

msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:

'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'

swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?

Najidai kuwa mkurya. Sisiogopi chochote, kama kufa nipo tayari.
Wakrya hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Thatho, thuragegenda kumuthema omuresyoyo
Tarime Hoyeeeeeeeee
 
Sasaa muraaa unauliza jibu kwani weweee huwajui wakurwaaaaaaaaaaaa??? Nisingependa kuwa shahidi kabisa katika hilo yangu macho na masikio, ila nawaomba wana Tarime muwe wavumilivu na kupunguza jazba.
 
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!

msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:

'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'

swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?
Namimi naweza kwenda kusaidia kwani nikwetu kabisaa rritaoncha joto ya chiwe!!!:A S angry:
 
ccm itasbbsha maafa nchi hii ktokana na ubishi wao na kulazmisha mambo.
 
Kama kawaida tutawapelekea,kikosi maalum,mwanzo hawana mvuto wakitanzania,2nasifika na tabia ya ustaarabu,uraiya wao nina hatihati nao,baada ya Mheshimiwa kuapishwa,we have to do vatting kwa jimbo la Tarime,nahisi wakimbizi wanataka kuharibu jina letu
 
Kama wamesema kweli; WATAFANYA! Kuna uchaguzi ccm ili ForceKing miaka ya nyuma mkoani mara. Wananchi wakamwambia HUTOTUONGOZA mbunge. Na kweli haikuwezekana. Watoto wake walianza kupelekwa na ffu shuleni, kanisani na hakuweza kuendelea na ubunge.
 
Natamani saaaana niwachape viboko mwenyewe kwa Mikono yangu MAKAMBA, JAJI MAKAME, KIRAVU, MAHANGA, MKAPA. hawa watu wanaichafua Tanzania yetu. Au wapelekwe tarime waachiwe katikati ya Wananchi wenye HASIRAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Tarime Anzeni Mkifanikiwa, tunapeleka kwenye majimbo ambayo CCM wamechakachuaaa. Asiwadanganye mtu Bongo hakuna amani ni uoga tuu, sasa naona uoga unaanza kutoweka wacha tuikomboe nchi yetu
 
wananchi wa tarime wamedai kuwa watamkataa kwa njia wanayoijua mbunge mteule wa ccm , nyangwine!

msemaji wa kamati maalumu itakayohakikisha kuwa azma hiyo inatekelezwa haraka na kama walivyopanga (jina nalihifadhi) amesema:

'tumemkataa huyu mgombea wa ccm kwa kumnyima kura lakini tume imemrejesha. Sasa tumeamua kumkataa kwa njia tunayoijua sisi, cha msingi nec ianze maandalizi ya uchaguzi mdogo jimboni hapa. Kama wanadhani tunatania subirini mtaona'

swali: Hawa jamaa wanataka kufanya nini?

I hope it involves violence, CCM need to get a very clear message this time around.
 
Jamani kabla hamjatoa adhabu na hasira kwa wagombea toeni adhabu hizo kwa Viongozi wa NEC na wakurugenzi wa chaguzi ambao ni puppets wao! Hili lawezekana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom