Kweli tanzania imepigika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kweli tanzania imepigika!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, Jun 14, 2011.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi hatari kwa nchi yetu!

  Hivi mbunge anatambuliwa kuwa kahudhuria vikao vya bunge kwa kusaini posho?
  Kwani utaratibu wa kuhudhuria vikao si unafahamika kwa kila m2 kuorodhesha jina lake kwenye attendance sheet?
  Hoja ya Spika kuwa watafukuzwa wasio pokea posho ina uhusiano wowote na kuhudhuria vikao vya bunge?
  Hii imekaaje watu tuliopata bahati mbaya kuongozwa na mbumbumbu?, hoja ya spika imeniacha midomo wazi! Au sijaelewa naomba kuelimishwa.
  So ...... wakiwezeshwa wanaweza? This is the type of our leaders we endowed in TZ; do you think our national will emerge from poverty. if decision makers are of this type?
  Mungu wangu![​IMG]
   
Loading...