Kweli Tanzania hakuna Pesa?: Huyu ndiye Mtanzania anaemiliki Gari la Tsh Bilioni Moja

Bora Mosha kaamua kutumia pesa zake hapahapa TZ kuliko wale wanaowatajirisha wazungu huko Uswiss! na huko visiwa fulani wanaviita vijisenti sijui watazitumia wakifa?

Pengine hajanunua bilioni yawezekana ameongeza sifuri sifuri mbele ili kuwakoga tu
 
Kuna wimbo unaitwa gere mama kuna mstari usemao fahari eeh ndio mama wa ujinga
 
Huyu Mosha anasema kweli lakini? Hii gari yake inaitwa Lamborghini Gallardo, ambapo top range (Lamborghini Gallardo LP570-4 Superleggera), bei ya mwaka huu 2012 ni USD 400,000.Sasa ukisema uweke VAT na ushuru wa kuingiza Tanzania, kadiria uongezeee bei kwa asilimia 40% unapata bei ya kuitoa bandarini USD 560,000, ambazo ni sawa na Tshs karibu 952,000,000. Sasa yeye iweje atuambie alinunua used Lamborghini, tena mwaka 2011, kwa Tshs 1000,000,000, zaidi hata ya bei ya Lamborghini mpya top range kwenye Gallardo, kwa bei ya mwaka huu? Tena inawezekana ya kwake ni Lamborghini Gallardo LP560-4 ambayo bei yake poa kidogo, pamoja na ushuru VAT na kila kitu mpya kabisa unaingiza hapa Tanzania kwa Tshs 800,000,000.

Labda kama alikubali kutapeliwa na huyo mtoto Yusufu Bakhresa.

Pengine hajamlipa pesa yeyote ameweka JF ili ajue bei harisi kisha wakamalizane
 
- Majungu majungu, I know the guy amesota na maisha ameanzia kwenye gas station attendant mpaka kufikia ku-own the very same stations alizowahikuzifanyia kazi akiwa chini, sasa he has made it majungu mengine mnasema sema tu, Riz alitoka Ikulu akaenda kumtafuta gas attendant na kumpa hela zake, simply stupid logic!!

- Yaani ungetegemea great thinkers wawe na mawazo tofauti lakini wapi yale yale majungu majungu tu, na utajiri wa Freeman ni wa nani wa Riz nao, maana ndugu zake sio matajiri kama yeye, ina maana na yeye amepewa na Riz?

- Majungu punguzeni humu, I know the guy been in his house with his family, great people wapo vizuri and he doe not shy about it anasema amesota na maisha sasa amefikia hapo he is happy about it na anakula maisha for sure, sasa the way mnavyooongea mnaonekana mna ushahidi wa some crime then kwa nini msiende kwenye vyombo vya sheria?

Es!
Haya si majungu huu ni Ukweli sasa hiyo Gari bei yake ni Ndogo sana tofauti na D.mosha alivyojikosha ! vinginevyo ametapeliwa bei Usifikiri kwa lugha ya kigeni haihitaji elimu kutambua Kuwa kapigwa .
 
Huyu Mosha anasema kweli lakini? Hii gari yake inaitwa Lamborghini Gallardo, ambapo top range (Lamborghini Gallardo LP570-4 Superleggera), bei ya mwaka huu 2012 ni USD 400,000.Sasa ukisema uweke VAT na ushuru wa kuingiza Tanzania, kadiria uongezeee bei kwa asilimia 40% unapata bei ya kuitoa bandarini USD 560,000, ambazo ni sawa na Tshs karibu 952,000,000. Sasa yeye iweje atuambie alinunua used Lamborghini, tena mwaka 2011, kwa Tshs 1000,000,000, zaidi hata ya bei ya Lamborghini mpya top range kwenye Gallardo, kwa bei ya mwaka huu? Tena inawezekana ya kwake ni Lamborghini Gallardo LP560-4 ambayo bei yake poa kidogo, pamoja na ushuru VAT na kila kitu mpya kabisa unaingiza hapa Tanzania kwa Tshs 800,000,000.

Labda kama alikubali kutapeliwa na huyo mtoto Yusufu Bakhresa.

About the price I don't know but hii gari sio lamborghini gallardo, inaitwa lamborghini murcielago its more powerful and much expensive than the gallardo just google it.
 
Sishangai mtanzania kumiliki gari la thamani hata ya bilioni mia. I know magari mengi ya bei mbaya tunayoyaona mitaa ya bongo ni ya wizi. Anaebisha naomba anitumie chesis no. ya gari ya mosha tumalize fitna. Tutajua mtoto wa bakhresa alinunua wapi.

Utang'olewa kucha bila ganzi
 
embu tutupiane na nyumba yake anayoish manake nasikia anaish nyumba mbovu hata wanaoish kwa mtogole wana nafuu,:sick:
 
Huwez maliza matatzo duniani hata upewe pesa lundo. huyo baharesa mwenyewe ndugu zake zanza wana njaa. Wamechoka..ila mwanae anamiliki majumba na magari ya kifahari
 
SI KOSA LAKO!ungejua magali ni kitu cha kawaida sana na pia yanafanana kwa maumbile yote.hiyo gari ni used bei yake ni dollar 44,800.ushuru kalipa sana 30m.mpya inauzwa usd 400,000. kutegemea na specifications zke.hiyo ni 2002
 
hii gari haiuzwi bilioni moja ni mil450 from the factory...anaongea tu kutaka sifa akidhan watanzania wote ni wajinga!!!! well hata 450 is something thought.... big up.... yanga tunakukumbuka!!!
 
Back
Top Bottom