Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

Status
Not open for further replies.
Acheni kumchafua binti wa watu hii video ni ya miezi 7 ago na the guy anaitwa Billydee68 ni famous actor wa video za wakubwa shame on you
Screenshot_20220119-000612_Gallery.jpg
 
Pole sana Meena Ally na nimejifunza hii mitandao inaweza kukupelekea utindio wa ubongo, jana ilisambaa video inayosemwa ni mtangazaji maarufu, Meena Ally na akajaribu kujitetea siyo yeye lakini akaendelea kushikiwa bango. Leo nimegundua hamna kitu, ni video ya mdada na jamaa huko duniani na wameigiza video kadhaa nyingine zikiwa na sura bayana.

1642594462505.jpeg


Meena Fake.jpg

Dada aliyesemwa ni Meena Ally akionekana vyema usoni​
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom