Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

Unaelewa kilichoandika au unajawa na mahaba ya utimu. Narudia tena hakuna clip ya video inayoonesha kuna physical contact yoyote ile, unazosemea wewe ni picha picha tu. Kama wewe una ushahidi wa video naomba niwekee hapa. Inamaana bila mchezaji mwenyewe kukiri tuzingepata ushahidi mwingine kutoka kwa Azam Tv. Kuna mapungufu upande wa camera za Azam hazichukui matukio katika angle zote
kitenge kaweka clip Instagram ,kapombe aliporuka mbali kusukuma kuna namna jamaa alikanyaga kapombe wakati anaruka
 
Iwe kweli ama uongo,

Jana simba imecheza kama team ya mchangani, coach alimuongeza mzamiru na nyoni team ipate balance katikati ndo kwanza waliendelea kupwaya.

Onyango jana aliku hovyoo saana. Kama Simba wanataka kurudi kwenye kiwango ni wakati sasa wa kuwaacha Erasto Nyoni, Bocco, Mzamiru,Onyango, Wawa,Gadiel,Ajibu.

Kapombe asiwe wa kutegemea atafutiwe mbadala mwenye uwezo mkubwa.

Apatikane na striker mzuri nje ya hapo tutajifariji ila hao wachezaji viwango vyao vimegota.
Ukwel mchungu
 
View attachment 2030859
Hii video inaonyesha vizuri zaidi, hapo kapombe kasukumwa.
.
FB_IMG_1638498937510.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Uwanja wamkapa nimbovu kimiundominu uwanja unabeba watu elfu 60 kamera hakuna zinazofanya kazi akati ulitakiwa uwe nakamera zaidi ya elf 20 au 55
 
Kapombe alisukumwa kwa mguu akiwa juu that's why hata huwezi kuona contact yao vizuri bali utaiona miguuni.
Bila video na umakini kiukweli yangefichwa mengi. Shabiki mmoja wa simba anadai walipoenda zambia kucheza na mfulira walishinda goli tano bila ila anadai ingekuwa ni miaka hii baadhi ya magoli yalikuwa batili ni ya sampuli hii lakini yslihesabiwa tu.

Technology ni mhimu sana.
 
Simba kiwango kimeshuka mno na shida kubwa usajiri wa safari hii ni kama hawajafanya kitu
Yule dogo ni mzuri lkn bado labda mpelekeni timu B kwa misimu miwili hivi
Eti sasa hvi Benard ndiyo silaha tegemezi wakati mwaka jana alikua mtu wa kusugua Sub
 
Amekiri wapi? Naomba link tafadhali maana hapa chini huyu jamaa kasema kua alifunga goli likakataliwa huku akiwalaumu waamuzi wa nchii hii akiwaita ni tatizo.
Kwamba baada ya kuhojiwa hapa hakufanya mahojiano mengine tena?
 
achana na video , fuatilia mahojiano na yule mchezaji wa geita. Alikiri alimsukuma lkn siyo kwa nguvu sana. Alimsukuma kidogo.

Hayo ndiyo majibu , mengine yote porojo tu. kapombe alisukumwa.
Kama suala liko hivi, basi Azam TV wajitahidi kuwa na kamera za kutosha ili kumudu kuchukua picha za matukio kutoka pembe zote.
 
kwa hiyo wachezaji wapo waliozaliwa kuanza first eleven milele na wapo waliozaliwa kuanzia benchi milele? Jamani tuwe tunaandika kama Great Thinkers
Tafsiri inabaki pale pale kiwango kimeshuka hata ajib nae anaanza!
 
Sasa kama aliguswa kidogo vipi alivyoanguka hadi anataka kujiua ni sahihi!? Lile ni goli halali kabisa,haafu yule mchezaji Wa Geita aweza kuwa hajui alichoongea Mana na yeye akiangalia replay atajikosoa
 
Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH!

Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine ni wapenzi wa SIMBA wamekuwa against mwamuzi na simba!! Kisa wanataka ku- balance ile penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo.

Nadhani mada hapa ingekuwa ni kuwahoji Azam TV ambao wanashindwa kuleta picha zinazo onyesha angle nzuri ambazo zingeweza Kuzuia MABEZO na MAKEJELI haya yote toka kwa watu ambao hawaitakii mema SIMBA.
Wewe acha kujichanganya.Simba msimu huu inawachezaj weng wabovu.Hata usajil mpya.Ni mchezaj gan mpya angeanza kwa perfomance ya wachezaj wa simba wa msimu uliopita?
Ukubali ukatae thimba mbovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom