Kweli serkali ya CCM imekosa mafanikio ya kujivunia?

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
355
88
:frown:Jamani leo saa 8.55 nimesikia tangazo kwenye radio ya TBC likisema kuenea kwa mobile phones ni moja ya mafanikio ya serkali ya ccm ktk miaka 50 ya uhuru!! Je hii ni kweli???

Naomba tulijadili. Mimi nasema si kweli kwa sababu haya ni maendeleo ya technolojia duniani kote. Serkali ya ccm iwe inasema imefanikiwa ktk kujenga barabara, shule, hospitali, vyuo, nk.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom