Kweli Rostam Aziz ni mnafiki sana

linux2011

New Member
Sep 18, 2011
3
0
Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

Ulivyoaanza nilifikiri ni maneno ya Rostam mwenyewe akimsifia Nape na jinsi ulivyo conclude ni kama umemhukumu kwa jinsi alivyojieeleza mbele ya wapiga kura. Huo ni mtazamo wako kuhusu Rostam lakini kuna kitu umesahau kuwa ushindi kwa CCM saizi ni muhimu kama damu kwa mgonjwa aliyeishiwa damu, hivyo tegemea kila aina ya fitna kufanyika ili jhimbo hilo lirudi chamani! Inawezekana hata uwepo wa Rostam ni mkakati huo wa kuhakikisha jimbo linabaki,

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

Mkuu, tunashukuru kwa ufafanuzi uliojitosheleza. Nadhani umetoa majibu yote yaliyokuwa yanaleta utata humu jamvini. Sasa ni jukumu la magwanda kuchukua au kuacha.

hakuna cha rRM wala NN wote wapumbaaaaf tu.................RM kumbe siasa uchwara bado tamu anh?

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

Haya Rostam alijipeleka Igunga, akajipa Kipaza sauti kuzungumza na wananchi.

Je nini Kilimzuia katibu Mwenezi wa CCM kutokwenda Igunga?

Hivi yule Kiongozi wa CCM aliyemkong'oli mke wa kada mwenzie Igunga yameishaje! Au wameyemaliza Ki-chama kama yule mtu wa CUF aliyemfumania Kiongozi wake Pemba akafuta kesi ili asije kukivuruga Chama!

Wanafki wote wamejazazana CCM,kiujumla CCM ni chama cha wanafiki!wanamvua gamba na bado wanamhitaji kuwasupport!hili ni sawa na kupenda boga then huhitaji majani na maua yake!CCM wanahitaji pesa za Rostam ila hawana haja na yeye

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

Cjakuelewa hata kidogo na naomba kuuliza kama alijipeleka mwenyewe nani alimpatia nafasi pale hi-table? Pili kwanini alipewa nafasi ya kuongea wakati hakuwepo kwenye ratiba na alijipeleka? Please I need concrete and reasonable answers ili niamini uko sahihi na hii post.

Acha upunbavu bwana mdogo. Wewe ni nape na umeingia na id nhingine. Sh***t!

Cjakuelewa hata kidogo na naomba kuuliza kama alijipeleka mwenyewe nani alimpatia nafasi pale hi-table? Pili kwanini alipewa nafasi ya kuongea wakati hakuwepo kwenye ratiba na alijipeleka? Please I need concrete and reasonable answers ili niamini uko sahihi na hii post.

CCM bila Rostam, Chenge na EL haiwezekani. Bila Nape na Mukama inawezekana

Hawa CCM na wanachama wao hawaishi kunishangaza. lakini nawaomba watambue kwua mchezo wao ni mauti kwa wataqnzania wengi. Tutakapoamua kujichukulia hatma yetu mikononi wasitulaumu

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.
Sasa na wewe, umeingia JF bila hata kupitisha macho kwenye post zingine? Unajiunga halafu hapo hapo unaonyesha ufala wako. Iko kazi.

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

mkuu tatizo sio RA ni huyo jamaa wa magogoni kumpa shavu na ole wenu mumshtaki kazima ile kwenu ccm maana inaonekana jamaa kashikilia kila kona..

CCM wanautani na wana Igunga,
Wameona maji ya shingo na bila RA hawawezi kuvuka?
Lakini sidhani kama wana Igunga ni wapumbavu kama walivyo viongozi wa CCM

Kati ya ccm na Rostam nani anamuhitaji mwenzake?. Kwasasa ccm inamuhitaji Rostam zaidi ya rostam anavyoihitaji ccm.
Mkuu hapa naona wote wanahitajiana maana huyu akileta maringo si unakumbuka ule msala wa KAGODA na maufisadi mengine? Magamba wanaweza wakajifanya wamemsahau ukashangaa DPP kapita naye kama mwewe! Halafu nasikiaga alipewa jukumu la kukusanya ngawira flani za uchaguzi kutoka kwa maponjoro jamaa akafikisha robo tu ya mzigo zingine akatia ndani, jamaa yuko deep sana na fani husika ya kukusanya asipotawanya!

Rostam na CCM wote ni wanafiki hamna kitu hapo ni maigizo tu lengo lao ni kuendelea kushika dola na kuibia wananchi na ufisadi wao

Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go.

Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

Nina uhakika wewe ni Nape unajidanganya mwenyewe:

linux2011

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 18th September 2011
Posts : 3
Rep Power : 0

Back
Top Bottom