Penye nia pana njia: Ni wiki ya 5 sasa sijatia soda mdomoni, kumbe inawezakana kabisa

Mara ya kwanza nilipojaribu nile chakula bila kunywa soda niliona maisha magumu sana, chakula hakishuki, sina hamu ya maji wala juisi ya matumda wala chochote kile, yaani natamani soda tu, hapa ndipo nilipogundua kumbe hii ni shida, ni kama madawa ya kulevya, nina mashaka kuna kitu wanaweka mule, hii si kawaida.
Hongera sana. Mimi hata sikumbuki nimekunywa soda mara ya mwisho lini? Na nimezoea naona kawaida tu. Ukiamua inawezekana.
 
Huku kijijini kwetu karibu na Ifakara soda zimeadimika inakimbilia wiki ya pili sasa, sijajua tatizo ni nini kwa haya makampuni yetu. Kama yupo yoyote anajua basi atujuze!
 
Addiction ni kila mahali, mm siwezi kulala bila kuona hata nembo ya CCM, yaani CCM imejaa rohoni na moyoni, nikisikia mtu anaisema vibaya CCM moyo unaniuma sana, sbb nimezaliwa nayo na nimekulia nayo. Ndio maisha yangu, bila CCM Imara nchi yetu ingeyumba sanaa huenda leo tungekuwa kama nchi za waafrika wenzetu, vita kila kona, CCM daima na milele, Mungu nisaidie, Amen.
Qmmko
 
Back
Top Bottom