Kweli pale penye maumivu, ndo utamu ulipo

Nimeshaongea na Sweetielee amewashitaki kwa mods mnataka kumuharibia uzi wake kwa kuleta mapicha picha wakati huu uzi sio wa picha.

Both of you just get prepared to serve the longest ban ever, unless you refrain from what you're about to do.
Lord have mercy..!!
Nini kinafanya uamini kwamba naweza washtaki kwa mods?
What if am the biggest fan of yours and I am blessing what they're about to do?? 😂 😂
 
Lord have mercy..!!
Nini kinafanya uamini kwamba naweza washtaki kwa mods?
What if am the biggest fan of yours and I am blessing what they're about to do??
Coz this is not photos section, so posting photos here is too inappropriateness that can be defined as infallible breach of jf rules. However i know well an athletic body always send you glowing with some fervor so you must bless what they are about to do.
 
Coz this is not photos section, so posting photos here is too inappropriateness that can be defined as infallible breach of jf rules. However i know well an athletic body always send you glowing with some fervor so you must bless what they are about to do.
Wacha we
 
Haya basi watoto wazuri subirini niwatumie mimi mwenyewe mmoja mmoja sawa?. Tena nnawatumia zile ambazo zinaonekana vizuri kabisa nikiwa kifua wazi kimauzo zaidi kama Nelly.

Halafu hii ya matusi unaikuza sana
Tutumie Basi
Halafu Mimi ninayo moja full ya kwako.
Uliza nimeipata wapi


Nikiweka hapa utaniacha bila mitusi?
 
Kuna mmoja alikuwa anapenda kukaa pembezoni mwa barabara, na muda mwingi kila nikipita lazima nimuachie pale pesa.!! Siku hiyo napita zangu sina hili wala lile walaqhi alinivuta mguu nikateleza kidogo nianguke, nilimind jamani, nikawa napita upande wa pili na kumpaga hela nikaacha.!!

Watu walikuwa wengi na nilivyo sipendi aibu, halafu anatukana kabisa, watu wakanambia pole ndo alivyo ukimzoesha pesa kisha siku hiyo usimpe..!!
Aisee yaani wanaona kama kusaidiwa ni haki yao na ni lazima wakati watu wanakuwa wameamua kuwafanyia hisani tu
 
Hao ni wachache wanaodanga. Nyie hatuwezi kuwafikia. Siku hizi wadada wa Bongo anakuomba hela na anakulazimisha, mbona ile hela hutumi !!
Au usipompa hela anaona kama anakuhurumia, utasikia " mimi hata simwombagi hela, nampenda hivyo hivyo"
Ndiyo asipokuomba hela anakuhurumia kwa sababu ni jukumu lako kumpa lakini amechagua kutokukuomba
 
Back
Top Bottom