Kweli Obama anagusa watu...muangalieni huyu.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225

_62871441_hi015966721.jpg


Mona Renee Johnson becomes emotional as US President Barack Obama speaks at a campaign rally in Las Vegas, Nevada.
 
Obama ni kifaa, Tatizo tu ni Wamarekani !!kama angekuwa Mzungu wala wasingemundama kama wanavyomuandama sasa.
 
Sio msanii kwa watu ambao ubaguzi wa rangi uliwatesa directly katika maisha yao wanapomuona Obama na jinsi alivyoweza kupenya ktk ya wazungu lazima wawe emotional.

naunga mkono hoja mkuu...
 
hahaaa wazungu wanamkubali kiaina ..sasa mwaka huu ndo atapita kwa kimbunga maana republican wameweka mautumbo sio mgombea..
 
Back
Top Bottom