Kweli nimeamini kadi ya Chadema ina thamani kubwa

olevaroya

JF-Expert Member
May 6, 2012
1,224
512
Mida hii mtaa wa Sombetini M/kiti wa Uvccm.Martin Munis na timu yake wamekwenda kwa kamanda wa Chadema Omary na kumuomba akubali kurudisha kadi ya Chadema kwa kiasi cha laki moja (100,000) ktk mikutano yao inayoendelea ktk kata mbalimbali jijini Arusha.Kweli nimeamini kadi ya Chadema ni Dhahabu.wanapita kila pande kuwarubuni vijana kwa pesa hili warudishe kadi.
 
Mbowe aliishasema wakija na kutaka kuinunua kadi yako wape kwani ukiangalia gharama halisi kama wakikupa 100,000/= na wewe ukienda kuchukua kadi nyingine utalipa 500 na ada ya mwaka 2000/= kwa hiyo utabaki na faida ya 97,500/= na maisha yataendele KULA CCM KURA CHADEMA
 
Viceversa is true, kadi ya CCM haina thamani kuliko ganda la muwa la jana hivyo wanagawa bure mitaani!
 
Ndio maana jana nimeona fb Uvccm Arusha wawavua gwanda wanachama wa Chadema ishirini kumbe ndio mtindo huu kweli nimeamini mwisho wa CCM umefika inasikitisha sana wananunua kadi hili iweje?
 
Mbowe aliishasema wakija na kutaka kuinunua kadi yako wape kwani ukiangalia gharama halisi kama wakikupa 100,000/= na wewe ukienda kuchukua kadi nyingine utalipa 500 na ada ya mwaka 2000/= kwa hiyo utabaki na faida ya 97,500/= na maisha yataendele KULA CCM KURA CHADEMA

mi yangu nauza hata 50,000 tu ila sihami chama.pm kama unahitaji
 
CDM imewekeza kwenye mioyo ya watz.waacheni magamba watapetape tu!
 
Waje na mie niwape yangu ili nikachukue nyingine na pesa yao niilambe kama kawa
 
amakweli njaa inawasumbua,ukikubali kuuza kadi basi na nyinyi ni mafisadi sema tu hamjapata pa kufisadi
 
mida hii mtaa wa sombetini m/kiti wa uvccm.martin munis na timu yake wamekwenda kwa kamanda wa chadema omary na kumuomba akubali kurudisha kadi ya chadema kwa kiasi cha laki moja (100,000) ktk mikutano yao inayoendelea ktk kata mbalimbali jijini arusha.kweli nimeamini kadi ya chadema ni dhahabu.wanapita kila pande kuwarubuni vijana kwa pesa hili warudishe kadi.

daa bavicha hamkosi story za kusaka huruma.

"tukishika dola tutatengeza mitambo ya kuzalisha gongo"-dr
 
Back
Top Bottom