Kweli nimeamini kadi ya Chadema ina thamani kubwa


O

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
1,224
Likes
250
Points
160
Age
41
O

olevaroya

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
1,224 250 160
Mida hii mtaa wa Sombetini M/kiti wa Uvccm.Martin Munis na timu yake wamekwenda kwa kamanda wa Chadema Omary na kumuomba akubali kurudisha kadi ya Chadema kwa kiasi cha laki moja (100,000) ktk mikutano yao inayoendelea ktk kata mbalimbali jijini Arusha.Kweli nimeamini kadi ya Chadema ni Dhahabu.wanapita kila pande kuwarubuni vijana kwa pesa hili warudishe kadi.
 
M

MbungeWaPhilips

Senior Member
Joined
Oct 17, 2013
Messages
186
Likes
0
Points
0
M

MbungeWaPhilips

Senior Member
Joined Oct 17, 2013
186 0 0
Lazima tuwapige moja bila wacha wanunue kadi lkn mioyo inabakia vilevile
 
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,696
Likes
1,196
Points
280
Age
28
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,696 1,196 280
Mbowe aliishasema wakija na kutaka kuinunua kadi yako wape kwani ukiangalia gharama halisi kama wakikupa 100,000/= na wewe ukienda kuchukua kadi nyingine utalipa 500 na ada ya mwaka 2000/= kwa hiyo utabaki na faida ya 97,500/= na maisha yataendele KULA CCM KURA CHADEMA
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Viceversa is true, kadi ya CCM haina thamani kuliko ganda la muwa la jana hivyo wanagawa bure mitaani!
 
S

Steven Bicko

Member
Joined
Oct 6, 2013
Messages
59
Likes
1
Points
0
S

Steven Bicko

Member
Joined Oct 6, 2013
59 1 0
Ndio maana jana nimeona fb Uvccm Arusha wawavua gwanda wanachama wa Chadema ishirini kumbe ndio mtindo huu kweli nimeamini mwisho wa CCM umefika inasikitisha sana wananunua kadi hili iweje?
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,216
Likes
4,560
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,216 4,560 280
Mimi sina kadi, lakini mpaka mwenyekiti wa kitongoji nitamchagua mwana chadema.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,807
Likes
701
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,807 701 280
Mbowe aliishasema wakija na kutaka kuinunua kadi yako wape kwani ukiangalia gharama halisi kama wakikupa 100,000/= na wewe ukienda kuchukua kadi nyingine utalipa 500 na ada ya mwaka 2000/= kwa hiyo utabaki na faida ya 97,500/= na maisha yataendele KULA CCM KURA CHADEMA
mi yangu nauza hata 50,000 tu ila sihami chama.pm kama unahitaji
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,904
Likes
356
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,904 356 180
CDM imewekeza kwenye mioyo ya watz.waacheni magamba watapetape tu!
 
N

Noboka

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
1,184
Likes
156
Points
160
N

Noboka

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
1,184 156 160
mi yangu nauza hata 50,000 tu ila sihami chama.pm kama unahitaji
Mi nilichukua nne nilishauza 2 kwa sh. 270000,
Na kati ya hizo 240,000 nilisaidia uanzishaji wa tawi la CDM kwa kulipia pango miezi sita
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,178
Likes
3,964
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,178 3,964 280
Waje na mie niwape yangu ili nikachukue nyingine na pesa yao niilambe kama kawa
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,528
Likes
116
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,528 116 160
Walioko registerd kwenye makaratasi sijui ila mioyoni?......my friend.....usipime,pengine nusu ya raia wa Tz.
Sio nusu mkuu ni karibu asilimia tisini ukitoa mafisadi wachachena familia zao
 
M

mwanachuo

Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
20
Likes
0
Points
3
M

mwanachuo

Member
Joined Jan 15, 2013
20 0 3
amakweli njaa inawasumbua,ukikubali kuuza kadi basi na nyinyi ni mafisadi sema tu hamjapata pa kufisadi
 
O

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
1,224
Likes
250
Points
160
Age
41
O

olevaroya

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
1,224 250 160
Ukoo wa panya unatia aibu
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
45,873
Likes
16,331
Points
280
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
45,873 16,331 280
mida hii mtaa wa sombetini m/kiti wa uvccm.martin munis na timu yake wamekwenda kwa kamanda wa chadema omary na kumuomba akubali kurudisha kadi ya chadema kwa kiasi cha laki moja (100,000) ktk mikutano yao inayoendelea ktk kata mbalimbali jijini arusha.kweli nimeamini kadi ya chadema ni dhahabu.wanapita kila pande kuwarubuni vijana kwa pesa hili warudishe kadi.
daa bavicha hamkosi story za kusaka huruma.

"tukishika dola tutatengeza mitambo ya kuzalisha gongo"-dr
 

Forum statistics

Threads 1,252,119
Members 481,989
Posts 29,796,138